Recent content by Ayenda M

  1. Ayenda M

    JamiiForums Tanzania 'Alligator pepper' na 'bay leaves' kwa Kiswahili zinaitwaje?

    Upo Mbeya sehemu gani? Nahitaji
  2. Ayenda M

    JamiiForums Tanzania Maisha kama tuyafikiriavyo na kuyachukulia

    #MASTORISTORIYAMWALIMUNAMZEEABDALLAH Mwanangu tambua maisha yako ya leo yaweza yasiwe kama ya kesho! Ishikilie leo, ifurahie leo maana nani aijuaye kesho itakuja na nini? Juzi tu nilikuwa nacheza bao na Mzee Athumani ila leo hayupo. Sio kuwa hajafika hapa kijiweni kwetu tu, hapana, hayupo na...
  3. Ayenda M

    JamiiForums Tanzania Simba SC bora iachane na Chama

    Maisha yetu binadamu yamezungukwa na mambo mengi sana. Kuna wakati kwenye maisha ukweli na uongo huamua kujitenga ili maisha halisi yajidhihilishe. Ni kawaida ya wanadamu wote hasa waafrika kudevelop ego hasa pale wanapoona wao ni wa muhimu sehemu fulani. Sijui nani alituloga sisi ngozi nyeusi...
  4. Ayenda M

    JamiiForums Tanzania Mlete mwanao kwenye shule yetu kwa elimu na malezi bora

    Uongozi wa st. Marcus pre, primary and secondary school iliyopo iwambi mkoa wa mbeya inapenda kutangaza nafasi za masomo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza (msingi) na kidato cha kwanza (sekondari) kwa muhula wa masomo 2024/2025. Tunapokea jinsia zote. Pia, nafasi za kuhamia shule ya msingi kwa...
  5. Ayenda M

    JamiiForums Tanzania Nina mil 7 nahitaji gari IST

    Mkuu nakuja PM, kuna IST ipo DSM
  6. Ayenda M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Canter inauzwa 25 Milioni

    Inabeba Lita 4,500 na bado ipo kwenye hali nzuri. Bei 25 Milioni (Maongezi yapo). Leo Juma Nne ukingoja January unaikosa hii. Boss wa moto! Tufanye biashara.... Tucheki 0678275619. #magariused #ayendaposted #magari #kenya #Uganda #UgandaSafari #DRC #drcongo #tanzania
  7. Ayenda M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vitu vya ndani ya nyumba na ofisini vinauzwa

    Kuna mtu anahama yupo Kahama, maeneo ya Nyahanga anauza friji, Godoro, Jiko la gesi, Viti plastiki, Viti vya kiofisi, Meza za kiofisi, Meza za mbao, Vyombo pamoja na mapazia. Maongezi kwa mwenye uhitaji yanakaribishwa. Bosi ana haraka. Kama ni Dalali mlete mtu wako, KAMPA KAMPA TENA kwa LUPASO...
  8. Ayenda M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari kubwa scania ya kubeba mafuta (tanker) inauzwa

    Mbona ipo moja boss
  9. Ayenda M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari kubwa scania ya kubeba mafuta (tanker) inauzwa

    Nimeweka boss! Mil. 85
  10. Ayenda M

    JamiiForums Tanzania Mwenye gari aina ya Carina Ti namba B au C tufanye biashara

    Ikikupendeza naomba unicheki PM tuzungumze
  11. Ayenda M

    JamiiForums Tanzania Mwenye gari aina ya Carina Ti namba B au C tufanye biashara

    Boss, ipo lakini moja ipo Dsm na nyingine ipo Geita!
  12. Ayenda M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari kubwa scania ya kubeba mafuta (tanker) inauzwa

    Specifications, HORSE : R400 USAJILI: DLG USAJILI WA TRELA : NAMBA: AWN LOCATION; IPO DAR ES SALAAM UJAZO ; INA UWEZO WA KUBEBA LITA 40,000 ZA MAFUTA INAFANYA KAZI VIZURI KABISA. UNAPAKIA MAFUTA NA KUONDOKA. BEI NI MIL.85 Njoo PM au nipigie 0678275619/0620275619
  13. Ayenda M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Muda sio mrefu Wasafi bet imezinduliwa. Ni kipi kipya unakiona itakibeba kwenye tasnia ya betting hapa Nchini na nchi zote itakapokuwa inahudumu?
  14. Ayenda M

    JamiiForums Tanzania Bado mtaendelea kutuita wa mchongo?

    Juzi kati niliandika uzi kuhusu udhamini wa GSM na nkaja na maswali ya ufahamu. Kuna waliokubaliana na hoja na baadhi walikataa kabisa. Unaweza upitia hapa, Je, ni kweli udhamini GSM ni wa kimkakati? Kilichotokea leo pale Lupaso ni matokeo ambayo niliyategemea sana. Na kama TFF, TPLB na GSM...
  15. Ayenda M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Horse and tanker for sale

    Horse na tanker yake vinauzwa. Horse ni Scania R400 Namba DLG Bei yake ni Mil. 86. Nicheki 0678275619
Back
Top Bottom