Recent content by Axe Moja

  1. Axe Moja

    JamiiForums Tanzania Yeriko Nyerere, Shirika la Majesuit la Kanisa Katoliki siyo majasusi kama unavyodanganya

    Bado nasoma kwa kina
  2. Axe Moja

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Interesting
  3. Axe Moja

    JamiiForums Tanzania Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Natamani kuelewa Zaidi
  4. Axe Moja

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi: Kikwete na Mkapa haifai kuwataja kwenye kashfa sababu tunatunza heshima yao

    Issue ya Msingi ni Katiba Mpya ambayo itaondoa kinga ya kuwashitaki wakuu wa Nchi, waliokwisha kutumikia.
  5. Axe Moja

    JamiiForums Tanzania Uvamizi Hatari wa Kimtandao Duniani: Tishio la Usalama wa Taifa Tuchukue Hatua Haraka

    Ahsante Mwl Mwethew.
  6. Axe Moja

    JamiiForums Tanzania Dr. Mashinji kwa haya hufai kuwa Katibu Mkuu CHADEMA

    Yote yanapaswa kuhojiwa. 50mil kila kijiji na uaminifu juu ya kuwapa Dola Upinzani. Anzisha Uzi nadhan wanajukwaa watachangia.
  7. Axe Moja

    JamiiForums Tanzania Dr. Mashinji kwa haya hufai kuwa Katibu Mkuu CHADEMA

    Kwa Hiyo Tuamini Dr. Slaa alikuwa Rubber stamp kuwa Katibu Mkuu wa Chama.?
  8. Axe Moja

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?

    Mr Mayala kajitahidi kuweka Hoja zake mezani kama Mwanajukwaa Huru Katika Jukwaa Letu Pendwa la Siasa, Were We Dare To talk Openly. Kwa mantiki ya Andiko lake anapaswa kujibiwa kwa Hoja na si kumwambia ake Kimya kama ndivyo hakuna Sababu ya Kuwa na Jukwaa hili kila mtu angekaa na hoja yake...
  9. Axe Moja

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Prof. Kitila A. Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji

    Si jambo baya kuteuliwa Prof.Kitila ila tatizo ni yeye kutembea kwa kile alichokisema kwan nikiamini ndicho anachokiamink juu ya wanataalum wabaki katika uhaur na ukosoaji kwa nchi.
  10. Axe Moja

    JamiiForums Tanzania Kuhusu TLS: Itabidi Tundu Lissu ajiuzulu

    Issue ya msingi ni kuwa Kanuni za TLS zinasemaje. kama hazimfungi popote shida ipo wap? Kwa nn ww ndio uone hayo? Mawakili wasomi 1,400+ hawakuona hayo. Naamini wana sababu ya msingi kumchagua kuwa Rais wao. Naamini kwa Mawakili wote Mwenye Elimu ya Chini ni degree Holder N.k. Pilipili usiyoila...
  11. Axe Moja

    JamiiForums Tanzania Kipima Joto ITV: Polepole, Prof. Kitila, Mtatiro - Mageuzi ndani ya CCM, je ni mfano wa kuigwa...?

    Kofia moja katika Uongozi ni jambo la muhimu hasa ufanisi katika utendaji. Naungana na hilo toka kwa pole pole
  12. Axe Moja

    JamiiForums Tanzania Ikithibitishwa Manji sio raia naishitaki serikali na CCM

    Hizi ni hadithi za Juma na Uledi hahahahahahaaa
  13. Axe Moja

    JamiiForums Tanzania Jina la Tundu Lissu latawala mkutano wa TLS Arusha

    Go Lissu Gooo. I admire your Professional, You deserve to be a TLS President
  14. Axe Moja

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA mitandaoni tuige Mfano wa Lizaboni wa CCM

    Mleta Mada kuna Mantiki fulani umezungumza Shida kubwa ninavyofikir ndani ya Chama Kikuu Cha Upinzani ni Kuogopana ndani ya Chama, hii nadhani inasabasisha kuzorotesha ufanisi kwa baadhi ya mambo fulan fulan
Back
Top Bottom