Hv huo uwanja hauna ulinzi !!! Hpo ndo tunajijua kuwa atujui kitu zaid ya kutegemea uchaw leo fuvu la kchwa ipo cku wtakuja kukuta maiti ya m2 uwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mahitaji ya
#Ving'amuzi
#Ufundi
#Tv set up
#Kurudisha signal zilizo potea
Na vifaa mbali mbali vinavyo husiana na dish
Wasiliana nasi 0652170490
0689433371
Ulipo tuna kufikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Chaneli yako pendwa ya ZBC inapenda kuwatangazia kuanzia tarehe 31/8/2017 watazima rasmi mitambo yao ya analogy na kuingia kwnye mfuno digital hvyo wananchi wote Wanatakiwa kununua ving'amuz ili kuendelea kupata matangazo ya ZBC....
Sent using Jamii Forums mobile app
RANGERS MADISH; tunapenda kuwatangazia wateja wetu wa azamtv kuwa kuanzia tar 1.9.2017 kutakua na mabadiriko ya vifurushi kama ifuatavyo..
Azam pure 18000/=
Azam plus 23000/=
Azam play 28000/=
hii inatokana na kuongezeka kwa chanel za burudan ikiwemo ile azam sport 2....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.