Recent content by avocadothomas

  1. A

    Subaru vs Vanguard

    hapo lazim ujue Forester km ni 2013 generation ipi ya 3 y 4
  2. A

    Subaru vs Vanguard

    ona hii mtu subaru generation y ngap unazungumzia kwanza
  3. A

    Nina maumbile madogo ya uume

    we ni hohoooo kbisaa 🤣🤣🤣🤣🤣
  4. A

    Sababu za kimaandiko kwanini baadhi ya waislamu wanao miliki nyumba Magomeni Na Ilala huwa hawapangishi wakiristu ( Hasa Hasa walokole)

    niwakumbushe tu kuna dini ya kikristo na kuna biblia halafu kuna quraan na dini ya kiislam sasa usichanganye hv vitu dini na vitabu vilivyotumika kutengeneza dini.
  5. A

    Je, Yuda Alikufaje Na Alienda Mbinguni?

    swali langu liko hivi yuda aliandaliwa amsaliti yesu sawasawa na yohana mbatizaji aliandaliwa mahususi kuandaa (kusafisha) njia kwa ajili ya yesu sasa kama sio yuda kusaliti nani angesaliti?? na wokovu ungepatikana vipi?? na yesu alijua tangu mwanzo kwamba yuda atamsaliti lakini alimchagua...
  6. A

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    na kwambia tenaaa 5g bongo hakn boss miaka 5 nyuma before 5g kuanza kupigiwa kelele na Western countries NASA walikuwa wanagonga 900mb to 1gb mb na 4g ndo walikuwa wanatumia 5g ilipoingia mzigo ukawa upgrade trust mee niambie bongo nani anatumia 1gb hata office kubwa kubwa wanatumia 500 to...
  7. A

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    hakuna 5g tz boss just unatumia 4g ikiwakatika ubora wake kidogoo 5g nenda kaangalie video ya mkbhd youtube ni 500mbps minmum
  8. A

    OBD kwa old car like Premio 2004 or IST

    Ningependa kujua hii device hapa TZ naweza pata wapi? Asante.
  9. A

    Nichukue mkopo ninunue hati fungani, then malipo ya hati fungani nitumie kurejesha mkopo?

    Mkuu naomba unisaiide maelezo nataka kifahamu kipi bora utt au bot moja kwa moja
  10. A

    Tiba ya ugonjwa wa kuota sugu kwenye unyayo wa mguu

    boss naomba update ulipata msaada ktk hii ishu ya mguu kuuma nina tatizo kama hiloo tafadhali nichek 0782100086
  11. A

    Kampuni ya Rifaro Africa yafungiwa na TCRA, yatozwa faini!

    mungu atuokoe bado kidogo tyu ningeingia mkenge looooh!!!!!! thank you magu kwa TCRA mpya maana ya kikwete ilikuwa ni mtihani kwa kweli
  12. A

    Apple wanataka kufanya vizuri au wanakosea

    hawa apple kiukwel ni balaa maana zaid ya asilimia 60% ya profit industry ya smartphone wameikamata wanajua customer anataka nn hasa kwa nchi zilizoendelea
Back
Top Bottom