Recent content by Avictown

  1. A

    TANROADS tunaomba na barabara ya Mbezi Mwisho kwa Yusufu-Mpigi Magoe via Mbezi High ipangwe kwenye bajeti, hata ile ya 2021/2022

    Kwenu TANROADS, Najua hii barabara mnaijua na mnajua kwamba iko chini yenu. Kwa kweli hii Barbara ni kero zaidi ya kero. Kila siku utakutana na magari ya abiria njiani yameharibika. Magari binafsi ndio usiseme. Kwa kweli wakazi wanaotumia hii Barbara wamekuwa wahanga wakubwa kwa kukosa magari...
  2. A

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Naomba kujua bei ya AC za LG Dual inverter 12000BTU na 18000BTU. Pia naomba na bei ya hizo BTU kwa Hisense.
  3. A

    Hali ilivyokuwa katika Jiji la Dar wakati vijana CHADEMA wakimchukulia fomu Mbowe

    Huu mchakato inabidi tuuanze mapema ili Mh. Rais awe na uhakika wa kuendelea baada ya 2025. Ni nani wa kumfunga paka kengele kama mipanya yenyewe haijui taratibu za kumfikia paka? Mh. Rais wangu kipenzi Magufuli, piga kazi, sisi tutafanya kampeni ya kutafuta signature 2m uendelee. Tutapigana...
  4. A

    Kocha Mwinyi Zahera aachia ngazi Yanga. Mkwasa kuinoa kwa muda

    Huyu mliyempatia timu ya Taiga alikuwa na mafanikio gani huko alikopita?
  5. A

    Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Kwani akifuata hiyo procedure katiba inamtaka atangaze? Kama hafungwi na katiba kutangaza basi kwa nn tusikubali kwamba kafuata huo utaratibu?
  6. A

    Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Hivi ili rais akifuata hicho kifungu cha utaratibu wa kumuondoa CAG lazima atangaze? Sasa nyinyi nyote mnaopiga porojo kwamba katiba imevunjwa mna uhakika gani kwamba hajaunda hicho chombo kwa mujibu wa ibara mnayoizungumzia? Labda niletewe kifungu kinachoonyesha kwamba rais akiwa anatekeleza...
  7. A

    Mwalimu Nyerere kwanini alichagua Twiga? Ni Mnyama dhaifu sana!

    Daaa umenikumbusha movie ya The Lion King. Hapo namuona akiwa na Simba.
  8. A

    Mkuu wa mkoa Paul Makonda, na sisi wakazi wa Mpigi Magoe tunaomba utukumbuke, barabara yetu ni mbaya haswa

    Hata makongo mbunge wao siyo Mh Makonda, lkn ujenzi wa barabara umeanza. Na Madale vile vile mbunge siyo Mh Makonda.
  9. A

    Mkuu wa mkoa Paul Makonda, na sisi wakazi wa Mpigi Magoe tunaomba utukumbuke, barabara yetu ni mbaya haswa

    Daaaa, sasa matusi ya nini mkuu? Ndo ulivyofundishwa na wazazi wako? Umekosa adabu wewe. Mimi nakuacha, lakini hutatoka humu duniani bila kupata adhabu yako ya matusi kwa watu usiowafahamu. Endelea tu.
  10. A

    Mkuu wa mkoa Paul Makonda, na sisi wakazi wa Mpigi Magoe tunaomba utukumbuke, barabara yetu ni mbaya haswa

    Kwa kweli ni changamoto sana. Wenye magari ya abiria (daladala) huwa wanayaondoa magari yao kuepusha spare za mara kwa mara. Hapo ndo kilio cha kusaga meno kwa wananchi kinapoanziaga. Make unaendaje kazini bila usafiri?
  11. A

    Mkuu wa mkoa Paul Makonda, na sisi wakazi wa Mpigi Magoe tunaomba utukumbuke, barabara yetu ni mbaya haswa

    Mkuu wa mkoa anaijua DSM yake yote, hivyo nilivyomwandikia yeye amepajua tayari.
  12. A

    Mkuu wa mkoa Paul Makonda, na sisi wakazi wa Mpigi Magoe tunaomba utukumbuke, barabara yetu ni mbaya haswa

    Mkuu, Mnyika alishinda lkn si kwamba wa CCM hakupata kura. Maana yake ni kwamba, hata wa CCM pia hii tabu ya barabara inahusu. Usiongee bila kufikiria.
Back
Top Bottom