Recent content by avi.JNR

  1. avi.JNR

    Nilichokiona Chuo cha Usafirishaji(NIT)

    Pili kwa MTOA Uzi ni kwamba UMEPENDA USAJILI ...but Ukifanya Research kidogo Utaongeza list ya vitu vya kupenda na vya kuchukia ..
  2. avi.JNR

    Nilichokiona Chuo cha Usafirishaji(NIT)

    Dereva acha dharau [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kile chuo kimesajiriwa 1982 as HIGHER LEARNING INSTUTION kwaiyo madereva ni kisehemu cha biashara pale Kama ilivyo VI ( Vehicle inspection) Kingine ni Kwamba KATIBA YA SERIKALI YA WANAFUNZI YA NIT iitwayo SONIT CONSTITUTION...
  3. avi.JNR

    Waandishi wa habari mmepotoka suala la "Mzee wa Upako"

    MWANDISHI hawezi kuandika habari unayotaka wewe Pili Wanafanya uhariri " kama mbowe kasema .Je mwandishi kajiridhishaje kuandika Ilo SWALA ?" tatu na mwisho ni kuhusu iyo habari ..Naamini kuwa swala LA IMANI ni kubwa kuzidi izo Rushwa kuzidi iyo mambo ya MBOWE " maana kukosa Hofu ya mungu ndo...
  4. avi.JNR

    Taarifa kwa uma kutoka serikali ya wanafunzi UDSM

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kabisa mkuu ..maana watatuchanganya tushindwe tunalipaje ...maana nachojua malipo ya kwanza ni 724,000 staki kujua kuna mini ndani yake [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  5. avi.JNR

    Aliyetolewa macho yawezekana yeye ndiye mkosaji

    Kila mtanzania Siku hizi Mwanasheria Wanaboa na wanakera Mkuu
  6. avi.JNR

    Msukule azua taharuki mkutano wa Bishop Gwajima, Mbezi Luis

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Tupe EPISODE YA PILI .. Maana picha linaanza msikule kaja dar Akitokea Shelui kiomboi Singida ... Starring:gwajima Scrip writer : JF member Wacha movie Iendeleeeeeee
  7. avi.JNR

    Aliyetolewa macho yawezekana yeye ndiye mkosaji

    Stories zenu hakuna anayetaka ... Kama Jamaa ni mkosaji hatutaki pia kujua Tunachojua hapa ni KUMJERUI vibaya kiasi cha kutaka kumtoa roho.. sheria INA ruhusu kila Mtu kutuhumiwa na kutuhumu . Nikushauri mtoa Uzi ukasaidie Polisi umtetee SCORPION hatuwezi jua maslah yake kwako huku hakuna...
  8. avi.JNR

    20 bora ya wanamuziki matajiri nchini Nigeria

    Tupe na ya BONGO
  9. avi.JNR

    Idadi ya wanafunzi waliopewa mikopo na bodi ni 3,966 tu?

    Mkopo watapata wengi sana ... Tatzo JF wapotoshaji wengi Sisi mwaka wetu JF members walikuwa wakisema sana Ooh Mara serikali haina pesa Imetumia kwa uchaguzi ..lakin kilichotokea ni tulipata woote wenye Vigezo
  10. avi.JNR

    Idadi ya wanafunzi waliopewa mikopo na bodi ni 3,966 tu?

    Wana Allocate kutokana na mnavyopata vyuo Na baada ya week mbili Batch nyingne inatoka
  11. avi.JNR

    Baraka da prince amtukana Msami

    Nimeiona mkuu ni kutokana na issue ya Stani Bakora [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  12. avi.JNR

    NIT ni chuo ama ni kijiwe cha tuition?

    1. Nikukosoe: Academic Calender iliyopo kwenye website ni DEAD calender! Ni calendar ya 2014/2015 - 2015/2016. Kama kuna LATEST academic calender (2016/2017 onwards) in that site, hebu tupe link hapa tuone. 2. Nikuweke sawa: STAGGERED programme mode is for NTA level 4 (Certificate) ONLY...
  13. avi.JNR

    Baraka da prince amtukana Msami

    Nimeona nyingne NOW kamtukana NEY Wa mitego [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  14. avi.JNR

    Idadi ya wanafunzi waliopewa mikopo na bodi ni 3,966 tu?

    uongo UPI? Batch ya kwanza ilikuwa na wanafunzi 12,284 Batch ya pili ilkuwa na wanafunzi 28,554 Hujui kusoma ? Hapo kubwa ni IPI? Nimelinganisha batch ya kwanza na ya pili ya mwaka 2015/2016 Sasa muongo kivipi..tatzo hamfanyi RESEARCH
  15. avi.JNR

    Idadi ya wanafunzi waliopewa mikopo na bodi ni 3,966 tu?

    Naogopa kumkimbiza KICHAA [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Back
Top Bottom