Recent content by Averos

  1. Averos

    Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tafakuri Tunduizi kuhusu tamko la Maaskofu Tamko la maaskofu linesema SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU mimi nawakumbusha tu ya KAIZARI AACHIWE KAIZARI na ya MUNGU APEWE MUNGU Nimelisoma TAMKO LA MAASKOFU na mimi nimeona mambo haya Mimi nlichoona: Badala ya kutoa maoni kwamba mkataba...
  2. Averos

  3. Averos

    Bei za Engene 3s

    Habari, Mwenye kujua bei ya engene 3s tafadhali anujishe. Naomba kujua bei ya mpya, used na mswaki. Naomba kuwasilisha. Ahsante
  4. Averos

    Watanzania wakamatwa Kenya wakiwa njiani kwenda kujiunga na Al Shabaab

    Kwa anayejua anisaidie kujua inakuwaje mwisho wa hawa wanaokamatwa huko Kenya Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
  5. Averos

    Watanzania wakamatwa Kenya wakiwa njiani kwenda kujiunga na Al Shabaab

    Watanzania wawili wamekamatwa kenya wakitaka kuvuka kwenda Somalia kujiunga na Alshabaab --- Polisi wanawashikilia Abdirahman Shaffi Mkwatili(25) na Sadam Jafari Kitia(30) waliokiri walikuwa wakielekea kujiunga na Al Shabaab, baada ya kuwakamata Julai 12, 2023 wakiwa na daftari lililoandikwa...
  6. Averos

    DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Wewe uliye giggle tuletee hizo kesi Ni viongozi gani wamekula pesa za DPW? Wakati wanapewa pesa uliona, shngapi wamepewa?
  7. Averos

    DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Umeongea vizuri Tuna shida kubwa wa Tanzania kwenye uendeshaji wa miradi Hatuna nyenzo, technology wala ubunifu Waacha tuwape wenye uwezo wafanye kwa manufaa ya Taifa
  8. Averos

    DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Hongera sana mkuu kwa kutujulisha kuwa ww ni mtu wa aina gani
  9. Averos

    DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Ni jambo gani linafanya mkataba usifae
  10. Averos

    DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Ntakufundisha, uwe tu na intelligence ya kuelewa
  11. Averos

    DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Mtu anatawaliwa na kuongozwa na watu wasio na akili atakuwa nani huyo?
  12. Averos

    DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Asiyejua aendako hapotei Nenda na mawazo yako mkuu hutapotea kwa kuwa hujui wandako
  13. Averos

    DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Jifunze International treaties yakhe
Back
Top Bottom