MHASHAMU ASKOFU SHAO ANATAKA KUITEKA ZANZIBAR KWA JINA LA USAWA (RECIPROCITY) WA KUMIlIKI ARDHI.
Sasa hii ni hatari tena kubwa tena ilioekwa hadharani. Ni dalili ilio wazi ya kutapatapa na kumtisha hadharani Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi aridhie kile ambacho hakikuridhiwa na Maraisi...
As far as sheria za Uraia Uhamiaji, Mambo ya ndani, Ulinzi na Sarafu ni Muungano Wazanzibari na hata wazungu na Wahindi watamiliki Ardhi Bara.
Tatizo kubwa mlofanya ni kuipokonya Zanzibar Sovereignity yake, si hivyo isingalikuwa issue.
Kuna mali na rasilmali nyingi za Zanzibar mumezipora ndani...
Tena wengi, nawajua binafsi ni rafiki zangu kabisa na mbona wamasai wapo na sasa tokea wafike Zanzibar hawataki hata kurudi Longido, ubaya wanamtekekeza mama Yo wanachukuaga wazungu wa Scandinavia wanajengewa majumba ya kifahari pembeni mwa fukwe za bahari na wanazaa nao na kupelekwa majuu for...
Nakubaliana na wewe. Na hapa Tanzania kampuni zinazoleta hizi sumu hapa nchini ni pamoja na Syngenta, Bayer, Bolton na agent wao wapo na baadhi ya maprofesor wa vyuo vyetu vya kilimo nchini wanapokea kifunga mdomo wafumbie macho na kutokuishauri serikali vizuri.
Kwa kweli mbegu zao zote pamoja...
*GHANA SHIFTS ATTENTION FROM TAX DRIVEN ECONOMY TO PRODUCTION DRIVEN ECONOMY*
While some African countries are considering increasing Value Added Tax (VAT) also known as Goods and Services Tax (GST), GHANA is already thinking outside the box.
To save us the boredom of reading long stories, let...
Na Mange alipoitisha maandamano mlifanyaje si mlipita kivita na vifaru mitaani dhidi ya raia. Hii ripoti ndio vita baridi dhidi unyama wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliandamana kupinga hayo mauwaji na movements za BLACK LIFE MATTERS na hawakuzuiliwa mpaka kuingia mabungeni bila kupigwa mabomu.
Waliotaka kufanya maandamano dhidi ya mauwaji ya Kibiti walidunguliwa wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.