US Department of State, Human Rights 2018 Report on Tanzania.

Ahmad Abdurahman

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
1,703
2,000
Kwa ripoti hii, tuwaeleze tuu Wamerekani kuwa asanteni kwa urafiki wetu, lakini naishauri serikali yetu, isikubali kupokea misaada yoyote ya Watu wa Marekani, katika maeneo ya ku cover internationally recognized individual, civil, political, and worker rights, as set forth in the Universal Declaration of Human Rights and other international agreements. The U.S. Department of State submits reports on all countries receiving assistance and all United Nations member states to the U.S. Congress in accordance with the Foreign Assistance Act of 1961 and the Trade Act of 1974.

Hivyo hatuhitaji misaada yao kwenye eneo hili na hatutaki wafuatilie human rights records zetu, ila pia tuwaombe, kila wakitoa ripoti yao ya human rights, pia waweke repoti ya haki hizo nchini kwao, tusije kuwa ni ripoti za kunyoosheana kidole kimoja, halafu wao wana vidole vinne vikiwaelekea ila vimekunjwa!.

Hii ndio standard record yetu na kwa upande wa demokrasia, hii ndio Tanzania modal democracy yetu as part of African democracy, mambo mengine ni mambo yetu ya ndani, wao hayawahusu.

Hawa wazungu hawajui standards zetu za human rights, mfano kwenye ndoa za Kiafrika hata kwenye urafiki tuu wa wapenzi, wenzetu wazungu zile huduma hata kwa mkeo, unaomba unabembeleza, ukikataliwa ni bila bila, ukilazimisha unashitakiwa kwa ubakaji. African modal, mke ni wako mwenyewe, ukihitaji unapaswa kuhudumiwa hakuna kukataa, na ukikataa, unachukua huduma kwa nguvu, na mke hathubutu kushitaki popote kuwa huduma zimechukuliwa kwa nguvu bila idhini yake, Jamii watakushangaa. Hivyo kiukweli kabisa dada zetu, mama zetu kila siku wanabakwa na pia wanachezea vichapo, hawasemi. It's normal, it's our model.

Hivyo wazungu hawa watuache na African Human Rights records zetu na African Democracy ambapo rais ndio kila kitu, na political rights kwa Tanzanian Democracy ni haki za chama tawala pekee.

P.
Aliekua anatafuta CV ya Mayalla, CV yenyewe ndo hii sasa achilia mbali ya hkoo nyuma enzi za kitimoto. Anatafuta fahali ya ulimwengu hata kwa kufumba macho na kuyasujudia mawe. Na fahali kwa speed hii ataipata. Lakn Mayalla mm nakwambia mawazo yako ya kuitafuta fahali yanapingana na nafsi yako ambayo ilikuepo kabla ya huo mwili uitafutayo fahali...mwili wenye Shauku na tamaa ya kuketi kwenye viti vya juu na kulala kwenye mahekalu na kukokotwa na magari ya chuma yavutwayo na farasi....ikiwa nafsi yako ya milele ikihuzunika kwa kusalitwa na mawazo yalyojaa tamaa ya dunia
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
42,737
2,000
Kwa ripoti hii, tuwaeleze tuu Wamerekani kuwa asanteni kwa urafiki wetu, lakini naishauri serikali yetu, isikubali kupokea misaada yoyote ya Watu wa Marekani, katika maeneo ya ku cover internationally recognized individual, civil, political, and worker rights, as set forth in the Universal Declaration of Human Rights and other international agreements. The U.S. Department of State submits reports on all countries receiving assistance and all United Nations member states to the U.S. Congress in accordance with the Foreign Assistance Act of 1961 and the Trade Act of 1974.

Hivyo hatuhitaji misaada yao kwenye eneo hili na hatutaki wafuatilie human rights records zetu, ila pia tuwaombe, kila wakitoa ripoti yao ya human rights, pia waweke repoti ya haki hizo nchini kwao, tusije kuwa ni ripoti za kunyoosheana kidole kimoja, halafu wao wana vidole vinne vikiwaelekea ila vimekunjwa!.

Hii ndio standard record yetu na kwa upande wa demokrasia, hii ndio Tanzania modal democracy yetu as part of African democracy, mambo mengine ni mambo yetu ya ndani, wao hayawahusu.

Hawa wazungu hawajui standards zetu za human rights, mfano kwenye ndoa za Kiafrika hata kwenye urafiki tuu wa wapenzi, wenzetu wazungu zile huduma hata kwa mkeo, unaomba unabembeleza, ukikataliwa ni bila bila, ukilazimisha unashitakiwa kwa ubakaji. African modal, mke ni wako mwenyewe, ukihitaji unapaswa kuhudumiwa hakuna kukataa, na ukikataa, unachukua huduma kwa nguvu, na mke hathubutu kushitaki popote kuwa huduma zimechukuliwa kwa nguvu bila idhini yake, Jamii watakushangaa. Hivyo kiukweli kabisa dada zetu, mama zetu kila siku wanabakwa na pia wanachezea vichapo, hawasemi. It's normal, it's our model.

Hivyo wazungu hawa watuache na African Human Rights records zetu na African Democracy ambapo rais ndio kila kitu, na political rights kwa Tanzanian Democracy ni haki za chama tawala pekee.

P.
Hahaa wewe Wajaze wenzio Ujinga tu

Ilhali unaitambua nguvu waliyo nayo USA haswaa kwa mataifa ya africa ambayo hatima ya maisha yao huwa ina amuliwa na nchi zenye nguvu ya kiuchumi .kodola na kiushawishi duniani ....

Unaweza kuwa umeongea sahihi lakini binafsi sijaiona nchi ya africa yenye uwezo wa kuwadindia USA ...Itakula kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
6,808
2,000
Kwa ripoti hii, tuwaeleze tuu Wamerekani kuwa asanteni kwa urafiki wetu, lakini naishauri serikali yetu, isikubali kupokea misaada yoyote ya Watu wa Marekani, katika maeneo ya ku cover internationally recognized individual, civil, political, and worker rights, as set forth in the Universal Declaration of Human Rights and other international agreements. The U.S. Department of State submits reports on all countries receiving assistance and all United Nations member states to the U.S. Congress in accordance with the Foreign Assistance Act of 1961 and the Trade Act of 1974.

Hivyo hatuhitaji misaada yao kwenye eneo hili na hatutaki wafuatilie human rights records zetu, ila pia tuwaombe, kila wakitoa ripoti yao ya human rights, pia waweke repoti ya haki hizo nchini kwao, tusije kuwa ni ripoti za kunyoosheana kidole kimoja, halafu wao wana vidole vinne vikiwaelekea ila vimekunjwa!.

Hii ndio standard record yetu na kwa upande wa demokrasia, hii ndio Tanzania modal democracy yetu as part of African democracy, mambo mengine ni mambo yetu ya ndani, wao hayawahusu.

Hawa wazungu hawajui standards zetu za human rights, mfano kwenye ndoa za Kiafrika hata kwenye urafiki tuu wa wapenzi, wenzetu wazungu zile huduma hata kwa mkeo, unaomba unabembeleza, ukikataliwa ni bila bila, ukilazimisha unashitakiwa kwa ubakaji. African modal, mke ni wako mwenyewe, ukihitaji unapaswa kuhudumiwa hakuna kukataa, na ukikataa, unachukua huduma kwa nguvu, na mke hathubutu kushitaki popote kuwa huduma zimechukuliwa kwa nguvu bila idhini yake, Jamii watakushangaa. Hivyo kiukweli kabisa dada zetu, mama zetu kila siku wanabakwa na pia wanachezea vichapo, hawasemi. It's normal, it's our model.

Hivyo wazungu hawa watuache na African Human Rights records zetu na African Democracy ambapo rais ndio kila kitu, na political rights kwa Tanzanian Democracy ni haki za chama tawala pekee.

P.
Mugabe na uchumi wake wa Zimbabwe ulikuwa na hali nzuri sana kuliko Jiwe na Tanzania. Sasa hivi Mugabe na Zimbabwe yake wako wapi baada ya vikwazo vya mabeberu. Bwana Mayalla a. k. a Njaa acha kutuingiza chaka kisa tu unatafuta uteuzi baada ya kazi yako ya uandishi Kubuma!
 
Averoes

JF-Expert Member
Jan 30, 2014
981
1,000
Mfano namna ya kumu approach mwanamke kwenye Chagulaga ni kumbaka, jirani mzungu hajui mila zenu, anadhani binti anabakwa kumbe ndio mila zenu, tena wakati wa ubakaji watu wanashangilia. Hata katika ndoa za kimila, ile consummation by deflowering ni ubakaji tuu.

Kama wenyewe wameridhika na huu ubakaji, wewe mgeni, inakuhusu nini?.
Natolea mfano kuzuiwa kwa mikutano ya siasa, katiba imeruhusu, mikutano ilipozuiwa, sisi Watanzania wenyewe tumefanya nini, kutufanya chochote ni kuashiria kuwa tumekubali, tumeridhika, hii ndio The Tanzanian Democracy, hawa wazungu inawahusu nini?.

Watuache.
P
Na Mange alipoitisha maandamano mlifanyaje si mlipita kivita na vifaru mitaani dhidi ya raia. Hii ripoti ndio vita baridi dhidi unyama wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
38,604
2,000

muchetz

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
922
1,000
Brother Pascal ,I'm sure you are not serious here. What kind of democracy is this?
This is a new model of democracy you want to tell the world.

Are you able to defend this kind of democracy to the point that the entire world can understand and support you?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukitaka kumwelewa Pascal msome polepole.. nje ya hapo utaona nyota tu.... hebu rudia taratiibu kumsoma tena.
 
Mar 15, 2019
8
45
Trump is one of the most brilliant guys trust me , the problem is hujachunguza chochote zaidi ya kubeba maoni ya watu wa mitandaoni juu ya trump na ww ukameza hivo hivo.
Our country is worst at observing human rights.

Sent using Jamii Forums mobile app
I don't need no to win your trust sorry for that.

Your goddamn opinion ain't my fact dude.

I stand to my first comment.
 
Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
6,808
2,000
Hao kina Saddam, Ghadaffi na Mugabe, udikteta wao ulikuwa ni wa high degree.Huu udikteta wa bongo haujafikia hiyo level kiasi cha kuwa topped, bado ni udikteta uchwara. Halafu neno uzalendo unalitumia vibaya. Maana ya uzalendo sio kuwa loyal kwa watawala, kuwalamba miguu ili uambulie chochote, bali kuwa mzalendo ni kuwa loyal kwa nchi yako, utaifa Kwanza,haijalishi serikali inaongozwa na chama gani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom