Recent content by avan kato

  1. A

    JamiiForums Tanzania Lubuva: Kinachosomwa na tume ndicho kilichopo majimboni

    kura zaidi ya 1000 useme ni sahiii je hizo elfu moja kaongezewa nani
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Hauwezi ukafuta uchaguzi wa Zanzibar ukaacha uchaguzi wa Jamhuri ya muungano

    haya mambo utayakuta tanzania na africa lkn kwingineko akuna ujinga uhu .mtu kashindwa eti tume ivunje uchaguzi uliona wapi, then umeshadai uchaguzi ulikuwa huru na wa haki tena
  3. A

    JamiiForums Tanzania Willy Gamba, Hofu, Njama, na E MUSIBA, Mnakumbuka Enzi Hizo?

    au mshikaji nae kauwawa maana sipati picha
  4. A

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa katika ubora wake akiiwajibisha serikali ya CCM Bungeni

    kweli kabisa kwenye watu wanaoweza kufanya kazi uyu mzee anaweza kufanya kwa usahii na kwa ubora lkn shida ni mfumo wa chama chake, na kashasema atowaangusha na kufuata sera yao apo tu ndo namkataa lkn kwingineko yupo safi na ni mtu makini sana
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    maana nyie wasomi mumeshaona hii nchi ni yenu, hivyo mtapoteza uraji kwa kumpa mwenye uwezo wa kufatilia mambo na nikwambie nchii hii wanaofanya hovyo ni wale mnaoitwa wasomi na ndo nashaanga usomi wenu uko wapi kila jambo ni zero akulinganisha na wanaoitwa wasio soma mkute mwenye phd zake...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    usomi wako uko wapi au kupata A darasani mbona una uwezo wa kufikilia maisha ni zaidi ya usomi dreva boda boda anakuzidi akili niambie kuna mwizi wa sh ambaye siye msomi hivyo mnazani nchi hi mungu kawapa nyinyi eti msomi akisema awezi chagua mwizi ili , unajua mwizi mwenzio atakubania, au mtu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania GE2015 Nani hatari zaidi kati ya malaika aliyegeuka shetani, Au shetani aliyegeuka malaika?!

    ya mungu yahache uyawezi kwani mungu si ni mwingi wa rehema kwani mungu akiamua kumsamehe shetani si anaweza mbona uwa wanawasiliana na kujivunia watu wao wanaomwabudu, mbona alimbadilisha poul na kumtumia kwa viwango vya juu hivyo ata akihamua kumsamehe shetani imawezekana maana kwa mungu akuna...
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa miaka19 anahatarisha uchumba wangu, mchumba namuona mzee

    du pore ndugu yangu but kuna mambo mengi ulikuwa ujayawaza sema ulitaka kuingia kwenye ndoa na zaidi ya hapo iningekuwa ngumu jipange kaka
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya mpenzi wangu na mpenzi wake wa zamani

    unafanyaje kaka kupata hiyo
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya mpenzi wangu na mpenzi wake wa zamani

    pore Ndugu yangu mambo haya yapo sana sema ni kuwa na roho ya ekima katika hili
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya mpenzi wangu na mpenzi wake wa zamani

    sasa nikishadownload nafanyaje
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikubali au nikatae?

    Broo hiyo application inaitwaje
Back
Top Bottom