Hasa kama sio saiz yako urafiki wenu mmeanza vip hadi akupe mambo mumewe? We kicheche utakuwa.
Hahahaaah hata kama bado dogo tu mbele ya wengi wetu.Duu iyo kauli haijakaa vema halaf wengi mnaniita dogo lakini mjue bado kidogo tu niingie mwaka wa 30
Umevutiwa nayo?Broo hiyo application inaitwaje
Nakushauri kaa mbali na mke wa mtu,wewe ni fundi simu? Na umeshasema ni meaningless sasa ushauri wa nini tena boy?
Broo hiyo application inaitwaje
Hahahaaah hata kama bado dogo tu mbele ya wengi wetu.
Hahahaaah hata kama bado dogo tu mbele ya wengi wetu.
Hahahaaah Mkuu mimi sijakuita Dogo.Usi generalize wewe ndo umeita dogo
Najua ni dogo mbele ya wengi ila inawezekana si mbele yako...
Hizi apps nyingine ni za kujitafutia magonjwa ya moyo bure.Couple tracker ila si vizuri uitumie kama unahis jambo bora m-bananishe mhusika
Hahahaaah Mkuu mimi sijakuita Dogo.
Ila kwetu sisi hilo DOGO halina shida hata kidogo ni kama sifa. Nina kaka zangu ambao tunaitana DOGO na wamenizidi umri na wengine tunalingana. Usipaniki kwa kuitwa dogo,,,,,,,,,by the way kama unakaribia 30 kwangu ni dogo maana mimi naiacha 40.
c.c. Dogo Patrickn