Recent content by Author

  1. Author

    Je, ulishindwa kula tunda kimasihara?

    We ni NDINA WA MANDINA....
  2. Author

    Dawa za PEP zinaweza kufanya kazi masaa 52 baada ya kushiriki ngono?

    Upo salama mkuu,,,acha kusingizia mafundi.
  3. Author

    Nimepewa mechi nikashindwa kusimamisha

    Dakika 40 ni deni la taifa unalipa au?
  4. Author

    Hivi kwenye bomba la mafuta ya Uganda, Tanzania itakwangua kiasi gani kwa kila tone linalofika bandari ya Tanga ?

    Kwa kila tone!!...hatujafikia huko.... ILA... Tanzania imepata takriban TZS bilioni 181 kupitia ada, kodi na ushuru mbalimbali katika hatua za mwanzo tu za utekelezaji wa mradi huu. Mpaka sasa mradi umefikia 55% ya utekelezaji.
  5. Author

    Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Hili swali umeelekeza kwa Mamelody au kwa Simba?. Eleweka kwanza mkuu! Kama vipi tuwaulize Mamelody kwanini wananunua kofia kwa bei kubwa...itakua utakatishaji fedha 😂 Ponjoro wewe unaandika na kujijibu...yaani unasema jezi za Mamelody zina bei mbaya na sababu unatoa na bado unalinganisha bei...
  6. Author

    Mashindano ya wazi ya Washika Dini na Wachawi. Mshindi kundoka na laki 5

    Watu wa Bariadi maeneo kama Gamboshi hawakufuzu kwenye kinyang'anyiro hiki?
  7. Author

    Je mayai ya nyoka yakiwa fresh yanafaa Kwa kitoweo?

    Kwangu wanataga sana, nakula mwaka wa tatu sasa.
  8. Author

    Ni dhahiri kuwa Rostam Azizi na Kundi lake ndio waliodhamini safari ya Rais na kundi lote lile. Watanzania tukae mkao wa kutafunwa

    Unadhani zile ahadi kwenye dinner pale mpaka yanga wanajichanganya zilikua genuine!!!....everything was prior arranged buddha.....
  9. Author

    Sitosahau siku niliokamatwa na polisi kisa kupunguza upwiru

    Daah, nimecheka sana KMMK...😂😂😂😂
  10. Author

    Haya tufanye pesa zinachotwa kama anavyowaongopea Polepole na Mange Kimambi. Nyie mnasemaje? Mna la kufanya?

    Ila wala na kipofu wa kipindi hiki wanajua sana jinsi kutokumshika mkono hapo nawapa 10/10.
Back
Top Bottom