Yani unajua hapa lazima tuelewe kwamba 95% ya ungoz wa serikari ya mwendazake haukua mzuri hasa hawa RC,DC eidha kwamakusudi waljua wanachofanya, point yangu nikua sabaya anawajibika Kwa makosa yaliyo tokana natuhuma za raia wa hai,sasa ili kuleta tafasiri nzuri ya uwajibikaji ilifaa nawenzake...
Bodi ya mikopo Elimu ya juu nchini husitisha kutoa Huduma kwa muda wa saa nzima, hutumia lisaa zima kwaajili ya kula, wakati huo huduma husitishwa mpaka watakaporudi, hii imeekaje huko kwingineko katika taasisi za umma?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.