Recent content by AUSTRONAUT

  1. AUSTRONAUT

    Yaliyojiri kwenye Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards

    Naomba kuuliza ni redio ya Ruge tu ndo huwa inatumika kupromote wasanii? bas kama ndio hivyo redio nyingine inabid zilaumiwe kwa kumuachia yy aendelee kushikilia wasanii au pengine zinaogopa cost ya kumpromote msanii bila malipo ndo huwa redio nyingine hazitaki na kuhusu tuzo za Kilimanjaro...
  2. AUSTRONAUT

    Huyu ndiyo peter aiseeeeee!!!

    hahahahahahahahaha mkuu umetisha
  3. AUSTRONAUT

    Wapi Prof.J na Lady J.Dee siku ya muungano? Au hawa si legends wa bongo music?

    Kimtazamo wangu cjaona cha kumlaumu Ruge ila mm naona ni uzembe wa wasanii kutokuwa na creativity ya kutafuta opportunity au fursa kama zile, kutokana na kila mwaka kuna maadhimisho ya muungano au uhuru but hakuna anauyejishighulisha kutunga hata wimbo wa uhuru ama muungano sasa inapokuja mtu...
  4. AUSTRONAUT

    Daktari Huyu Ni Nomaaa!!!!

    Daaa ni hatar xana anafia kweny raha l
  5. AUSTRONAUT

    Jamaa kaenda kuomba kazi BBC

    hahagha bado anasubiria majib ya kaz
  6. AUSTRONAUT

    Jamaa kaenda kuomba kazi BBC

    He is now waitin for interview results
  7. AUSTRONAUT

    Baba abaki kinywa wazi

    hahaha nimeipenda hiyo
  8. AUSTRONAUT

    Jamaa kaenda kuomba kazi BBC

    INTERVIEWER: Tell me the opposite of good. JAMAA:Bad INTERVIEWER: Come JAMAA:Go INTERVIEWER: Ugly. JAMAA: Fine. INTERVIEWER: You are wrong! Jamaa:You are right! INTERVIEWER: Shut up! JAMAA: Keep talking! INTERVIEWER: Ok,now stop all that. JAMAA: Ok!now carry on all that...
  9. AUSTRONAUT

    Mwigulu afuta Malipo ya Wajumbe Waliotoroka Bungeni, azuia Mabenki yasiwalipe!

    Sikuwah kujjua kama Mwigulu ni kiaz kiasi hicho kumbe ni Lipumbav kias hicho linasema hizo hela bora wangelipa maden ya waalimu so inamaana hela za kuwalipa zilikuwepo ila wakaamua wasiwalipe na kusubiri bunge la katiba ili liwalipe wajumbe na waalimu waendelee kubaki hivyo hivyo na ukiangalia...
  10. AUSTRONAUT

    Watanzania kwenye MTV Africa Music Awards 2014

    Katika kuzid kuitangaza Tanzania katika Africa na Dunia kwa ujumla Diamonds Platnumz ameingia kwenye categories mbili za MTV Africa Music awards pamoja na mtanzania mwingine ambaye ni Anisa Mpungwe ambaye yupo kwenye category moja. Tukiwa kama Watanzania tuwasupport kwa kuwapigia kura. source...
  11. AUSTRONAUT

    Lady Jaydee ashiriki kwenye wimbo rasmi wa Kombe la Dunia

    Sio kwamba Jide ataimba wakat wa uzinduz hapana ila yy ataimba kuipromote bidhaa ya cocacola ambayo ni mdhamin wa kombe la dunia yeye pamoja na hao wenzake
  12. AUSTRONAUT

    Uwanja wa kimataifa wa ndege wa Kigali watajwa miongoni mwa 7 bora Afrika.

    Hapo hamna kitu bora hizo hela wangeuboresha ule wa Kilimanjaro (KIA) kuweka wa kisasa zaid na sidhan kama utakuwa umeshakamilika
  13. AUSTRONAUT

    Uwanja wa kimataifa wa ndege wa Kigali watajwa miongoni mwa 7 bora Afrika.

    Naomba nikupe big LIKE!!! may be huo unaojengwa utakuwa na huduma nzur na za kisasa ila huu wa sasa ni kama Ubungo Bus Terminal
  14. AUSTRONAUT

    Uwanja wa kimataifa wa ndege wa Kigali watajwa miongoni mwa 7 bora Afrika.

    Mkuu utakuwa ulisomewa mada ndio maana hukujua wametumia kigezo gani wakaupa nafas ya saba kwa kifupi hakuna sehem pameandikwa uzuri wa sura ya kiwanja cha ndege jaribu kusoma mada vizuri ni ushauri tu!!
  15. AUSTRONAUT

    Uwanja wa kimataifa wa ndege wa Kigali watajwa miongoni mwa 7 bora Afrika.

    Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kigali nchini Rwanda umetajwa miongoni mwa viwanja 7 bora za ndege barani Afrika, na ulio mzuri zaidi katika kanda ya Afrika mashariki na kati. Hii ni kulingana na ripoti ya hivi punde, ya shirika la Skytrax la Uingereza. Ripoti hii kwa mujibu wa Skytrax...
Back
Top Bottom