Recent content by Aurelia13

  1. A

    KIHOJA. Mifuko Ya Plastiki Na mbadala Wake

    Shukuru Mungu ni rababendi mi ningekuwekea kwenye soksi!
  2. A

    Kiwango cha roho mbaya na wivu kimeongezeka sana siku hizi

    Upo sahihi kabisa. Waswahili ni wazuri mno kuficha unafiki. Watakuchekea na matabasamu makubwa lakini moyoni hamanishi kabisa. Ni nature yao ya asili kabisa na ndio maana hata salam zao ni ndefu na za kuzungukazunguka huwa maongezi yao hayawi straight kona kona zipo nyingi. Nimeishi nchi nyingi...
  3. A

    We edit academic dissertations

    Nashukuru umetuelewa vyema. Sisi tunayoosha lugha a.k.a grammar. Hii ni huduma halali na hata walimu wa badhii ya wateja wetu huwatuma kuja kwetu tuwafanyie marekebisho kwenye lugha. That is all.Karibuni sana.
  4. A

    We edit academic dissertations

    Hatutoi huduma ya kumwaandikia kazi mtu yeyote. Operations zetu zipo legal kabisa na hakuna kitu chochote crooked. Kazi yetu sisi ni kukunyooshea lugha tu na ndio maana tunakuomba ututumie kazi yako na sisi tunakunyoshea kutokana na ulichonacho. Hii ni huduma hasa kwa wale ambao lugha inatatiza...
  5. A

    Kiwanja kinauzwa Morogoro

    Bei ni Tshs 28M, majadiliano yapo. Karibu sana.
  6. A

    We edit academic dissertations

    We edit English academic manuscripts/dissertations/Documents (Certificate, Diploma, Bachelor, Masters, PhD) for students. Simply call to request our services. Send us a softcopy of your document to the specified email in the advert and within 2 days we will send you an sms that your document...
  7. A

    Kiwanja kinauzwa Morogoro

    Plot for sale in Kilakala Morogoro area next to Goshen church. Medium Density sized in quiet and calm environment. Water and electricity close by.
  8. A

    BASATA wanatoa wapi mamlaka ya kuzuia show za nje za Wasanii?

    kaimbe hivyo mbele ya wazazi wako tuone kama wataburudika. in fact wafundishe na watoto wako pia lugha zisizo na staha ili waende wakawaburudishe na wengine. Hata hizo nchi nyingine kwenye Sanaa yao huwa wanaregulate kulingana na kanuni na mamlaka zao na ndio maana wenzetu wanarating kwenye...
  9. A

    BASATA wanatoa wapi mamlaka ya kuzuia show za nje za Wasanii?

    Jaribu kutype in nyege nyege ingawa sishauri mtu kutegemea google translator kwani huwa sio reliable na hukosea maana, tafuta dictionary upate ufafanuzi zaidi na jibu utakalolipata hapo ndio utajua shida ipo wapi, halafu kaimbe hivyo hivyo mbele ya watu wako wa heshima then uje utuletee mrejesho...
  10. A

    Taja nyimbo zenye maudhui kama ya wimbo wa Mwanza

    Wala usihangaike na huyo mbishi yaanii hapo ni kiburi cha "mbona yule hajafungiwa kwanini huyu….lazima atakuwa anaonewa". Hapo aidha mshabiki wake huyo aliefungiwa sasa kimemuuma na hajaelewa shida iko wapi. Achana nae atakupotezea mda.
  11. A

    European Parliament resolution on Tanzania

    Achana na hao wenye tunnel vision kwenye kila kitu hawawezi kukuelewa wala kuelewa kilichoandikwa hapo. Hapa ni kusubiria repercusions kwa kilichoandikwa pamoja na malalamiko ya hao hao wenye shingo ngumu. Wenzanko 90% ya mda wao huwaza tu issues za below the waist hawawezi kuwaza kuna issues...
Back
Top Bottom