Recent content by aupa

  1. aupa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga anaficha Barua za Uhamisho zinazotoka Ofisi ya Rais Utumishi

    Nimejaribu kufuatilia kwa kina na nikagundua huyu Mkurugenzi anaweza kuwa namba moja kwa kuruhusu na kupitisha uhamisho wa watumishi wake. Pia huwa hataki watumishi wazembe na wanaoingia kwenye 18 zake, badala ya kuwasimamisha kazi huwapa adhabu ya kuwapeleka lower level ili wajifunze na akiona...
  2. aupa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga anaficha Barua za Uhamisho zinazotoka Ofisi ya Rais Utumishi

    Unaweza taja majina ya watumishi wawili tu ambao barua zao zimefichwa na Mkurugenzi huyo?
  3. aupa

    JamiiForums Tanzania SHULE KWA WANAORUDIA

    Katika pitapita zangu nilipita Chato kwa mh. Na kuona kituo kimoja kinaitwa CHATO VIEW OPEN SCHOOL. Jamaa hawa wanatisha kitaaluma maana matokeo yao ya kidato cha nne walikuwa na Div IV 3 tu za 28 na mbili za 26. Wanafunzi wao wengine wote walifaulu vizuri. Kwa waliofanya mtihani wa maarifa...
  4. aupa

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

    CCM imeshinda Kata zote isipokuwa Kata ya Duru manyara
  5. aupa

    JamiiForums Tanzania HP or lenovo laptop inahitajika fasta!

    Uko mkoa gani?
  6. aupa

    JamiiForums Tanzania Si wapendagi CCM ila kwa mbunge Msukuma amenifurahisha sana.

    Mh. Ama kweli malipo ni hapa hapa duniani
  7. aupa

    JamiiForums Tanzania Si wapendagi CCM ila kwa mbunge Msukuma amenifurahisha sana.

    Alimfukuzisha nani bwashee
  8. aupa

    JamiiForums Tanzania KIKI YA MWL. MSIGWA

    Kama mwl. Peter msigwa angekuwa anatafuta kiki ilikuwa imefanikiwa sana
  9. aupa

    JamiiForums Tanzania MBEYA: Walimu 4 wamvua nguo na kumchapa viboko mwanafunzi huku mmoja akimtomasa nyeti

    Kama unaona viboko havifundishi kama una mtoto mfundishie kwako. Usimpeleke shule. Nyie ndo mnawapa viburi watoto
  10. aupa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wasukuma wanachukuliwa kama kabila la kipekee Tanzania?

    [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
  11. aupa

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Mbowe Night Club(BILICANAS), tutakukumbuka kwa mengi

    Hakuna night club yoyote Chato yenye jina la BILLICANAS. Uongo..... Kuna Giraffe na J.S
  12. aupa

    JamiiForums Tanzania Mbwa wanasumbua watu mtaani kwetu

    Mh
  13. aupa

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato: Serikali yatangaza tenda

    Pamoja na uwepo wa uwanja wa mwanza, mkoa wa Geita hauna uwanja wa ndege. Katoro kuna wafanyabiashara wanaochukua bidhaa zao nje ya nchi. Uwanja huu utawasaidia bila kusahau watu wa Bukoba na maeneo ya jirani
  14. aupa

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Chato: Serikali yatangaza tenda

    Hujui kuwa Chato ni wilaya? Kwahiyo watu wote wanaoishi Chato ni familia ya Magufuli? Tuacheni wivu
  15. aupa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afikishwa mahakamani, Mawakili wa Jamhuri waomba wakili wa Lissu awe shahidi wa Jamhuri

    Who is Lisu by the way? Nachelea kusema kuwa #Lisu ni mmoja kati ya wanasheria wazuri sana Afrika mashariki lakini anaitumia vibaya elimu yake ya sheria. Ni moja kati ya wanasheria wanaotumia kivuli cha sheria kutaka kuigombanisha serikali na wananchi wake. Ni mwanasheria #conservative ambaye...
Back
Top Bottom