Mbwa wanasumbua watu mtaani kwetu

Mbwa wanasumbua watu mtaani kwetu

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
748
Reaction score
367
Huku kwetu kuna mzee anafuga mbwa koko. Mchana huwafungia ndani ya namba take (fensi) ikifika usiku wa saa 6 usiku anawafungulia wanatoka nje kabisaaa ambapo nje ya nyumba yake imepita barabara ya lami inayotumiwa na watu 24 hours wakielekea machinjioni Vingunguti.

Mbwa hawa kuna siku nimeshuhudia wakiwakimbiza akinamama alfajiri, walipata tabu sana. Kuna siku wamening'ata mimi mwenyewe.

Nilishafikisha taarifa hii s/mitaa lakini hawajashughulikia. Nilimwambia mtufulani mtangazaji wa radio fulani akaenda akahojiana na wahusika wakamuahidi hawatawatoa tena nje, chaajabu bado huwa nawaona kila alfajiri nikienda kazini.

Naomba dawa ya kudumu kwa tatzo hili. Mimi kama raia nakerwa sana na hili. Namba yangu ni 0714045080, kama mjasiir nikuelekeze ujifanye ofisa wa maswala hayo upige hela.
 
Dawa yao ni ndogo sana, hata mimi nilishawahi kukerwa na majimbwa kama hayo, unajua nilifanyaje? Nilinunua sumu ya panya nikanunua na nyama nikaikatakata vipande vidogovidogo nikaipaka ile nyama. Sina haja ya kuendelea.
Mimi pia niliwahi kuitumia hii, nilisumbuliwa sana na vijibwa vidokozi vya jirani. Inafanya kazi 100% Mkuu ajipinde tu na kilo kadhaa, wakifa hata wawili mmiliki atashtuka.
 
Peleka wapangaji wa kihehe wawili tu au wawe ni wachina wakae mtaa huo na baada ya mwezi utapata majibu mswano kabisa
 
Hata mtaani kwetu ni marufuku kufuga mbwa km huna fensi, ss kuna jirani alihamia na mjibwa yake km ya polisi. Watu wanarudi kwenye starehe zao wanawakimbiza watu wakaweka sumu kwenye nguruka asubuhi, woote chali. Jamaa alilia km mtoto
 
Mbwa koko pekee ndo utawaua kwa sumu,ila asilimia kubwa sana ya mbwa sumu wanaitambua ipasavyo kama vile mtu ukitengewa wali uliomwagiwa petroli au mafuta taa.
 
Dawa yao ni ndogo sana, hata mimi nilishawahi kukerwa na majimbwa kama hayo, unajua nilifanyaje? Nilinunua sumu ya panya nikanunua na nyama nikaikatakata vipande vidogovidogo nikaipaka ile nyama. Sina haja ya kuendelea.
Kuna sheria za haki za wanyama Tanzania, Ngoja tujaze ushahidi iwe fundisho kwa wengine kwa kuanza na wewe
 
Huku kwetu kuna mzee anafuga mbwa koko. Mchana huwafungia ndani ya namba take (fensi) ikifika usiku wa saa 6 usiku anawafungulia wanatoka nje kabisaaa ambapo nje ya nyumba yake imepita barabara ya lami inayotumiwa na watu 24 hours wakielekea machinjioni Vingunguti.

Mbwa hawa kuna siku nimeshuhudia wakiwakimbiza akinamama alfajiri, walipata tabu sana. Kuna siku wamening'ata mimi mwenyewe.

Nilishafikisha taarifa hii s/mitaa lakini hawajashughulikia. Nilimwambia mtufulani mtangazaji wa radio fulani akaenda akahojiana na wahusika wakamuahidi hawatawatoa tena nje, chaajabu bado huwa nawaona kila alfajiri nikienda kazini.

Naomba dawa ya kudumu kwa tatzo hili. Mimi kama raia nakerwa sana na hili. Namba yangu ni 0714045080, kama mjasiir nikuelekeze ujifanye ofisa wa maswala hayo upige hela.
Umeeleza vizuri mwisho umeharibu
Kwa tabia hiyo ya upigaji huna tofauti yoyote na hao mbwa
 
Back
Top Bottom