Recent content by augustino6547

  1. A

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mimi lalamiko langu bila kumumunya maneno mana nikera sana kwanza una kuta nime weka vocha lamda mtu ame omba nimnunulie kifurushi nime chelewa tu dakika moja mna nitumia msg za kijinga na kula hela yangu mna dhani nina shimo la hela mkate kama mli nikopesha! Hiyo tabia ina nikera sana
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mtoto wa dada yangu ataniitaje?

    Babu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Natoka kimapenzi na shangazi yangu

    Inge kuwa ni india hapo sawa ila kibongo haipo sawa ila siyo mbaya kama ume weza kumvua chupi kuna shida kumuowa maana ata kama uta muowa kuvuana nguo mta endeleza tu
  4. A

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mm nina lalamiko tena mna nikera sana lala miko la kwanza kunipigia cm ili nichague mziki wa anaye nipigia sitaki izo habari maana ni usumbufu kwangu Lalamiko la pili ni kuwa laini nime weka kwenye cm ya vunja chawa ikiwa na maana kuwa haitumii bando ni sms na kupiga tu sasa mnacho nikera hapa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ndiyo maana waka sema Asiye fanya kazi na asile
Back
Top Bottom