Recent content by Augustino Temu

  1. Augustino Temu

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kumgharamia binti/msichana/mwanamke uliyenaye?

    Hakuna mwanaume aside honga duniani, na kama huombwi pesa au huhongi bas fatilia utakuta kuna mwanaume mwenzio anakusaidia kuhingaa
  2. Augustino Temu

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo WA pig black uitwao nini mtaka mazee, binge ya ngomaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Augustino Temu

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

    Wazee VIP kuhusu ist yenye engine ya 2nz cc1395 ulaji wake wa wese ni km ngap kwa litaa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Augustino Temu

    JamiiForums Tanzania Naomba jina la mtoto wa kiume linaloanza na C

    Asante cnaa nduguu hili jina nimelipenda sana aisee nisaidie na maana yake kaka
  5. Augustino Temu

    JamiiForums Tanzania Naomba jina la mtoto wa kiume linaloanza na C

    Naomaba nisaidie kutafuta jina la mtoto wangu wa kiume. Ila lianze na herufi C
  6. Augustino Temu

    JamiiForums Tanzania Kwa waliooa: Hivi pale sebuleni kwako una siti maalumu au unakaa popote tu

    Me popote tu hua sichagui
  7. Augustino Temu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Richmond ni ya Rais Kikwete

    Kama huyo magufuli anathubutu kupanda jukwaani na kumnadi chenge kwa nguvu zote, unategemea hizo mahakama za mafsadi atafungwa nani kama mafisadi wenyewe ndio wanao sifiwa na magufuli
  8. Augustino Temu

    JamiiForums Tanzania UKAWA wazuiwa kufanya mkutano Jangwani na Uwanja wa Taifa

    Sio kweli mkuuuu
  9. Augustino Temu

    JamiiForums Tanzania Hongera Tanesco,mvua kubwa lakini umeme upo hai!

    Asanteni cn kwa ushaur wenu wajomba ngoja nianze kusaka tatizo
  10. Augustino Temu

    JamiiForums Tanzania Tanesco noma

    Jamani luku yangu inakula umeme sana yaan umeme wa 35elf haufiki mwisho wa mwezi na mimi sina matumizi makubwa zaidi ya tv, radio na kafriji nisaidien jamen
  11. Augustino Temu

    JamiiForums Tanzania Hongera Tanesco,mvua kubwa lakini umeme upo hai!

    Jamani kuku yangu inakula umeme balaa yaan umeme wa elfu35 haufiki mwisho wa mwezi na mmimi sina matumizi makubwa zaid ya tv, radio na frij ushauri wenu jamani
  12. Augustino Temu

    JamiiForums Tanzania Kati ya AIRTEL, TIGO na VODACOM yupi yupo Cheap?

    Airtel hawana jipya cz wapo slow kupita maelezo
  13. Augustino Temu

    JamiiForums Tanzania Kutokana na Maelezo ya Lissu, Zitto Zuberi Kabwe Ameishavuliwa Rasmi Uanachama CHADEMA!

    Safi cn arud kwao akajipange au ndio anaenda ccm
  14. Augustino Temu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni msingi yazua balaa na kizaazaa

    Kuna mijitu humu yaani haielewi kabisa utazani walinyeswa damu ya ccm
  15. Augustino Temu

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam City in Photos

    Poua cn
Back
Top Bottom