Cooling sytem yoyote lazima mfumo uvute hewa toka nje kwa maana In-let na kisha kuipoza na baada ya hapo kuiruhusu kuzunguka katika chamber. Afterall huwezi vuta kwa kupumua hewa iliyokwisha tumika ya carbon dioxide kwa zaidi ya dakika 30 akabaki kuwa hai. Mfumo kama huu ndani ya mabasi ya...
Hayo ni matumizi sahihi ya fursa zinazopatikana '' Ulipoalala ndipo wenzako walipoamka'' hata kesho usishangae kwa anayoyafanya Mh Masele ndani ya PAP ukasikia wanamtangaza kuwa ni Mkenya wakati sisi tunamuita MBEYA.
Hayo ya ''CHECK BOB'' ni tafsisi yako binafsi Mh Msele ni Young Leader proved with a very high CAPACITY in leadership INTEGRITY and CARIBRE fuatilia hotuba zake hasa ile aliyoitoa iliyowashawishi wabunge wa PAP kumchagua kuwa vice President wa PAP. Believe or not katika spheres za AU kupitia...
Kwa Watanzania ninaowajua mimi masimu wa kampeni za uchaguzi ukifika hizo hoja zote ulizoziainisha ktk hayo makundi ya jamii zita evaporate na umma wa Watanzania hasa wakulima walio wengi utaimba wimbo mwingine kabisa jua ya JPM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.