hivi wakitokea watu wawili wakaongea ukweli wa jambo, je hlo linafaa kusema eti mmoja kamtuma mwingine.
Kimsingi hata ulipotoka sijakuelewa, kama una uelewa wa kawaida utajua kuwa vita ya aina yoyote ikitokea wewe na mimi hatutochujwa. Huu uccm, uislam ukatoliki wenu haunalengo la kumsaidia...
almost two hrs baada ya tukio hilo, hakuna hata afisa yeyote wa polisi au serikali kafika katika eneo la tukio au hospitali kwa ajili ya uchunguzi zaidi. Hapo maswali mengi yananijia kichwani......
Mingoi,,ebu jikomboe ujadili hoja.
Mh. Hamis,,kutaja na kusema uliyosema ni unethical kulingana na taaruma yako. Kimsingi ni aibu na umefanikiwa kuusaliti utu na uungwana wako. Ulosema umeyasema, wa leo wanaweza kusahau kama kawaida yao ila wa kizazi endelevu hawatayasahau kamwe, na ndo...
ila hili nadhani hakuitajika Dkt kuliongelea ila lilikuwa wazi hata kwetu tusojua sheria. Mbona ukimuuliza mtu yeyote anayejua atakueleza bila kinyongo? Nape alitutega tukategeka tena kijinga, kwake ni mafanikio makubwa maana kwa siku kadhaaa bora kapumua na hilo kundi lake la kazi
ila hili nadhani hakuitajika Dkt kuliongelea ila lilikuwa wazi hata kwetu tusojua sheria. Mbona ukimuuliza mtu yeyote anayejua atakueleza bila kinyongo? Nape alitutega tukategeka tena kijinga, kwake ni mafanikio makubwa maana kwa siku kadhaaa bora kapumua na hilo kundi lake la kazi
watanzania na tanzania..........
Ipo siku kitaeleweka....
Siku moja tutatoka ICU....siku moja tutaacha kupumulia mashine. Mda huo hatutaitaji CDM wala CCM, mda huo tutahitaji IQ zetu.
kadi inahusu nini maendeleo ya nchi hii,,,
kweli jf wanaowaza kwa umakini wanazidi kupungua. Namimi nimekuwa mpuuzi kuchangia hili ila acha tuu niwe kwa masilahi yangu binafsi.
Nnauye Jr,
Najua una ndoto ya kugombea ubunge ubungo, 2015. Kwahiyo wewe kumshambulia Mnyika hakuna atakayeshangaa.
Maswala wa IQ, kimsingi hamna hoja ya kuongelea kwakuwa mwenye macho haambiwi tazama.
Kama kiongozi mkubwa kama wewe kuweka uchambuzi wa kishenzi, ni dalili mbaya kwa chama...
sijui lakini.....
Nakupongeza sana Dr. Dau kwa maono yako na uongozi wa NSSF. Udhubutu wenu unatia hamasa, lakini pia nakumbuka nilipata kusoma gazeti nililonukuu ukilalama kuhu malipo kutoka serikalini zaidi ya bilion300 ambazo serikali haijalipa. Hizi ni hela za watanzania, sio za serikali...
yashatucost mpaka hapo mkuu Bukyanagandi.
Ifike mahali hawa watu wanaohusika na usalama wa Taifa letu wajue kazi zao. Kwakuwa watendaji wetu nao washakuwa wanasiasa, basi hawatendi kazi kwa weledi. Kwao la muhimu ni kama vile uongee kitu wakutishie, ukiwa ndani ya chama tawala ukiwakosoa waseme...
toa tafsiri, ya michango yenu hapa jf, katika maisha ya mtanzania wa kawaida. Kadili ya mda unavoonda wengi wa wachangiaji hapa mtakuwa na mawazo tofauti na watanzania walio wengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.