Recent content by audaxtoxic

  1. audaxtoxic

    Kusitishwa kwa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo na falsafa ya, "Quis Custodient, Ipsos Custodes."

    Kusitishwa kwa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo na falsafa ya, "Quis Custodient, Ipsos Custodes." Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ulisitishwa kufuatia majadiliano yenye tija yaliyofanywa mwaka 2018. Serikali ilibaini masharti magumu yanayoweka rehani uchumi wa nchi na kuhatarisha uhuru wa...
  2. audaxtoxic

    Dakika 30 za kifo cha rais John F Kennedy.

    Mdau naomba link nimsome the bold moja kwa moja au niunganishe
  3. audaxtoxic

    Naomba joining instruction ya Shirati School of Nursing

    Inasemekana masomo yataanza tar10/10/2016....lkn taarifa zingine hazijulkan kabisa
  4. audaxtoxic

    Naomba joining instruction ya Shirati School of Nursing

    Umepata taarifa ya tarehe ya kufungiliwa chuo? Kama unataarifa hiyo naomba unijuze.
  5. audaxtoxic

    Naomba joining instruction ya Shirati School of Nursing

    Wadau naomba mwenye joining instruction ya Shirati School of Nursing anisaidie au tuwasiliane kupitia namba 0763814980 maana naangalia kwenye website yao hakna kitu.
  6. audaxtoxic

    List ya recruitment agencies Tanzania

    nyotayamnyonge@gmail.com
  7. audaxtoxic

    List ya recruitment agencies Tanzania

    nitumie kwny email; nyotayamnyonge@gmail.com
  8. audaxtoxic

    Makao Makuu ya SIDO yako wapi?

    Karibu na uwanja wa ndege industrial area Mwl nyerere road
  9. audaxtoxic

    Walioitwa kazi OSHA

    Asante sana ndg Sucher
  10. audaxtoxic

    Walioitwa kazi OSHA

    wadau samahani nipo nje ya mada kidogo, naomba kufahamu ofisi za OSHA hapa dar zilipo pia kufahamu kuhusu Course ya Safety management ngazi ya cheti ni Tsh ngapi?
  11. audaxtoxic

    Wakuu naombeni mnijuze hizi TGS A,B,C na D

    Oooh Mimi sio muongo bali nimeleta scale ninayoifahamu baada ya kuona wenye majbu sahihi mmekaa kimya....lkn vzuri mmeanza kujtokeza sasa tupien scale zote za tgs A-D
  12. audaxtoxic

    Wakuu naombeni mnijuze hizi TGS A,B,C na D

    TGS A TGS A 1. (Sh249,000), TGS A 2. (Sh255,600), TGS A 3. (Sh262,200 ), TGS A 4. (Sh268,800 ), TGS A 5. (Sh275,400), TGS A 6. (Sh282,000), TGS A 7. (Sh288,600 ), na TGS A 8. (Sh295,200). TGS B TGS B 1. (Sh311,000), TGS B 2. (Sh319,500), TGSB 3. (Sh328,000), TGS B 4. (Sh336,500), TGS B 5...
  13. audaxtoxic

    Afisa Tarafa

    Majina yametoka wadau
  14. audaxtoxic

    Afisa Tarafa

    Walisema leo jion hivyo kuna haja ya kuwa na subira hop muda mfupi ujao watatoa.
  15. audaxtoxic

    Kazi ya usimamizi wa Uchaguzi Kinondoni

    Jamaa ameyaona majna yamebandikwa nje pale manispaa ya kinondon....lkn ameshndwa kupga pcha majna n meng sana
Back
Top Bottom