audaxtoxic
Member
- Jun 18, 2013
- 50
- 7
Wadau naomba mwenye joining instruction ya Shirati School of Nursing anisaidie au tuwasiliane kupitia namba 0763814980 maana naangalia kwenye website yao hakna kitu.
Inasemekana masomo yataanza tar10/10/2016....lkn taarifa zingine hazijulkan kabisaNdugu, hapo ni hadi uende mwenyewe rorya kwenda kuchukua au kama una mtu yuko huko au tarime mtume akufuatie, ukisubiri utakesha hapo
Inasemekana masomo yataanza tar10/10/2016....lkn taarifa zingine hazijulkan kabisa