Habari kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji mke wa kuoa. Nilishakua na mahusiano huko nyuma ila kuna mambo yalitokea mengi tukaachana ila sijawahi kuoa wala sina Mtoto. Ukiwa interested karibu
Sifa zangu
ELIMU: Degree.
Kazi: Network administrator
Umri: 33
Location: Dar
Rangi: Black...
Wadau ushakutana na mwanamke yaani ukituma message lazima apige na usipokea ni mzozo , mnachati message mbili ya tatu anapiga .. hii inakera saana
Hawa huwa una deal nao vip maana nimeshaongea nimechoka
Sikia ndugu yangu Hakuna tatizo la Nguvu za kiume tatizo lako umesha ji setia hvo kwenye akili yako na ndo kinachokutesa kwanza anza kukataa hiyo hali kuwa sina nguvu za kiume alafu uone utashanga tuu unakua sawa .. hakuna atakayekuambia hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.