Recent content by Atui

  1. A

    JamiiForums Tanzania Gharama za kupaua nyumba ya vyumba vitatu na finishing

    Je nyumba yenye urefu m 13 kwa 15 iitachukua bati ngapi?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nimeletewa bill ya maji isiyo sahihi. Naomba msaada kwa mwenye Uelewa

    Kuna kipindi wanafungulia upepo kama koki ipo wazi meter inasoma kwani MITA Yako inasoma hiyo namba? Umeangalia?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Je, engine za TVS za kununua madukani ni sawa na zinazokuja na chombo ikiwa mpya?

    Agent wa tvs pale posta mpya naye analeta fake?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Waipofanikiwa Kukutumia kwa Manufaa yako

    Hata kwenye maisha sifa unasaidia sana ndugu ina gharama yske
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ni lini utumishi wataita watu waliofanya oral za MDAs & LGAs

    Majungu kibao
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kuzuiliwa kuingia kwenye usaili utumishi

    Hivi Da res salaam hawana ofisi ndogo za PSRS
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za mfumo wa Ajira Portal zinachochea Matapeli kuigeuza fursa!

    Interview dogo anafanya tarehe 08. 06.2025 Mpaka sasa hawajaweka kituo Cha kufanyia kwenye account yake na anafanya online imekaaje mbona hawaweki vituo mapema watu wakajipanga kuna wengine inabidi wasafiri.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kuzuiliwa kuingia kwenye usaili utumishi

    Ok. Sawa mkuu anafanya interview tarehe saba mpaka sasa kituo hakijaingizwa kwenye account yake zaidi ya namba ya interview siku nazo zimesogea hapo afanyeje?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kuzuiliwa kuingia kwenye usaili utumishi

    Kuna dogo ananenda naye kufanya wiki ijayo majina alitumia majina mawili shuleni mfano ALEX SIMON yapo kwenye vyeti vya shule ila nida yapo majina matatu ALEX SIMON SAMU ana affidavit kuonyesha majina yote ni yake pamekaaje hapo wasije wakamzingua wadau ushauri wadau
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kuzuiliwa kuingia kwenye usaili utumishi

    Toa mfano na kwanini wamekataa afividavit
  11. A

    JamiiForums Tanzania Simba waliponzwa na mbeleko za ligi yetu, yaliyopita si ndwele.

    Ulozi.... Ulozi.....
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua hii nchi kuna huduma mbovu, nenda Hospital ya Serikali.

    Kweli mama wa rafiki yangu alivunjika mguu ana miaka 90 alitakiwa kutoa laki 9 rafiki yangu alikiwasha balaa hawatamsahau
Back
Top Bottom