habari zenu wakuu Natafuta hiyo routor ya Alcatel Linkhub HH41 inatumia sim card kama kuna mdau Anajua duka linalouza anijuze nimetafuta sana kariakoo na posta hakuna mi nipo Dar-es-salaam
hapo mkuu inakubidi udownload driver zote za windows seven za hiyo Toshiba yako kwenye pic nyengine na pia tazama kama hiyo windows 7 ni
32bit badili ya 64bit zinaweza kufanya kazi inawezekana hiyo laptop yako designed for win 7 64bit
Habari zenu wana jamii naomba msaada wenu account yangu ya google imefungiwa kwa sababu ya kuingiza
kwenye simu simu mbili tofauti kila nikijaribu ku sign ina nambia
Account has been disabled
na nimejaribu kujaza form yao kama inavyo eleza hapo juu nimewatumia hawajibu chochote
nimetuma...
wakuu habari zenu natumia dell D830 natafuta os ya android x86 inayo support dell yangu mana kila nnayo ipata
wireless hai support nimejaribu link hii Downloads - android-x86 - An open source project to provide android support on x86 - Google Project Hosting na hii Download - Android-x86 -...
Habari zenu wana JF,
Mimi natumia king'amuzi cha Bahresa, napenda huwa ina sehemu ya record unaweza ku-record movies kwa kutumia USB flash lakini baada ya kurecord hauwezi kuplay kwa kutumia pc una play kwa kutumia kin'gamuzi tu sababu lile file ni PVR format sasa nimejaribu convertor tofauti...
Tatizo hilo mara nyingi linasababishwa na adobe flash player ikiwa haipo uptodate na version ya hiyo mozilla.
Mfano unatumia Mozilla versin 15 au 16 na adobe flasher player unatumia verion 11. Yani new version hiyo ni sababu ya kwanza.
Unachotakiwa kufanya, ) chukua new version ya mozilla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.