Recent content by atimbwi

  1. atimbwi

    Natafuta shule zinazowachukua na kuwalipia wanafunzi wenye vipaji

    Dogo tuliza kichwa msuli popote na ukishaanza kuwaza kuwa ukienda shule mbovu utafeli fahamu ya kuwa hyo laana haiwezi kukuacha jipange kiakili kuwa popote ntafaulu advance cyo o level kule shule nzito physics syo tako kwamba kila mtu kapewa hahahahaha ngojea vipam vya mgote upaniki utaman...
  2. atimbwi

    Ndoto yangu kuwa na mwanaume doctor haijatimia

    Niko hapa docta wa binadamu MD
  3. atimbwi

    Qualifications zipi za kupangiwa shule za vipaji kwa kidato cha tano na sita?

    1 ya 14 mbali sanaaa ndugu coz kutoka 7-10 nafasi zimejaa kila la kheri msuli popote cyo wote waliofaulu wamepitia vipaji komaaa tu hyo young modulus utaikuta kwene elasticity advance japokuwa hilo swali liliwahi kuulizwa maika ya zaman kidogo o level
  4. atimbwi

    Qualifications zipi za kupangiwa shule za vipaji kwa kidato cha tano na sita?

    Na ww hujanielewa naposema 1 ya 10 cyo cut off points hyo ni moja ya factor inayosaidia kwenye ushindan
  5. atimbwi

    Nataka niende chuo cha nursing naomba mnisaidie kupata instruction za hivyo vyuo

    Utafute vyuo unavyovitaka kutegemea na hitaji na uwezo wako alf uombe kwa chuo husika online
  6. atimbwi

    Qualifications zipi za kupangiwa shule za vipaji kwa kidato cha tano na sita?

    Kwa miaka hii vijana wapo wengi na wanafaulu sanaaa BRN zaman zile mpk 1 ya 14 ukiwa na ABB shule za kata walikuwa wanapata mpk kibaha ila miaka hii naona 1 ya 10 ndo inasaidia kuepuka ushindan
Back
Top Bottom