Recent content by Athuman Mpambije Athuman

  1. Athuman Mpambije Athuman

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Hapana hizo kwa sasa sina Mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Athuman Mpambije Athuman

    Nataka kuwa winga Kariakoo

    [emoji95]CHULight LED bulbs 5W [emoji1666][emoji1666]TUNAUZA JUMLA: 13,000/10pc [emoji597][emoji597]:- TUNATUMA HADI MIKOANI BOOKING:- 0674 745 463 [emoji598][emoji597]MIKOANI TUNATUMA BOOKING:- 0674 745 463
  3. Athuman Mpambije Athuman

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    [emoji95]CHULight LED bulbs 5W [emoji1666][emoji1666]TUNAUZA JUMLA:- Tsh.1,300/pc [emoji597][emoji597]:- TUNATUMA HADI MIKOANI BOOKING:- 0674 745 463
  4. Athuman Mpambije Athuman

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    [emoji95]CHULight LED bulbs 5W [emoji1666][emoji1666]TUNAUZA JUMLA:- Tsh.1,300/pc [emoji597][emoji597]:- TUNATUMA HADI MIKOANI BOOKING:- 0674 745 463
  5. Athuman Mpambije Athuman

    Ufafanuzi kuhusu bei za vifaa vya kielectroniki Zanzibar pamoja na gharama za usafiri

    [emoji95]CHULight LED bulbs 5W [emoji1666][emoji1666]TUNAUZA JUMLA: Tsh.1,300/pc BOOKING:- 0674 745 463
  6. Athuman Mpambije Athuman

    Biashara ya dagaa

    Mvua za kule hazieleweki.. Ni Kama hazina msimu tu. Panga ratiba yako Vizuri bila kuwaza Wala kuzingatia mvua coz ni suala ambalo lipo nje ya control yako.
  7. Athuman Mpambije Athuman

    Biashara ya dagaa

    Goziba Tsh. 15,000/= MV NYEHUNGE na inapita na kusimama visiwa vyote zaidi ya Vinne kabla ya kufika Goziba.
  8. Athuman Mpambije Athuman

    Msaada vijiji gani nipeleke dagaa wa Mwanza?

    Ushauri wangu Kama ndio unaanza.. Nunua dagaa kutoka kwa wavuvi huko visiwani Kisha nenda kauzie pale Mwaloni Kirumba Mwanza. Unaweza uza kwa Bei ya Jumla au reja reja.. wanunuzi pale wapo. My take:- Vijijini hasa huko sijui tabora, Katavi, sumbawanga na nk wahitaji na watuamiji wa hizo dagaa...
  9. Athuman Mpambije Athuman

    Naumia sana ninaposhindwa kuwa msaada kwa wazazi wangu

    Reasoning yako katika utoaji wa hoja huwa upo Vizuri saana mkuuu. #Nakukubali
  10. Athuman Mpambije Athuman

    Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

    Biashara sio Bidhaa flani.. Biashara ni model ya uendeshaji wa Biashara husika. Model ya Biashara inafanikisha uuzikaji wa kila Bidhaa. 1. Chukua Nusu ya Pesa yako.. Nenda CRDB bank ulizia kuhusu UTT-AMIS (( Kama unaishi ndani ya Majiji Matano ya Tz.. fika moja kwa moja Ofisi za UTT-AMIS ))...
  11. Athuman Mpambije Athuman

    Kwanini frame za Sinza Kodi ipo juu Lakini sioni muingiliano wa watu madukani?

    SABABU NI HIZI:- • Maduka mengi ya Sinza - Kinondoni- Makumbusho na yale ya Bagamoyo road hadi Mwenge.. Wengi maduka yao mbali na kulipa kodi kubwa.. wengi wanayatumia kama sehemu ya window shop ((Bidhaa zinazo wekwa huko Ni Sample tu )).. hivyo basi lazima yapo maduka/biashara zingine Maeneo...
  12. Athuman Mpambije Athuman

    Maduka ya jumla ya pipi

    Nenda Kitumbini-Jamhuri street ((Kuanzia kwenye Shelli ya PUMA)) Ushindwe mwenyewe. Mfano:- Wanauza Box la Big G za GOMBA by that time ((sijui leo kwa kweli )) liliuzwa Elfu 28 -29.. Wakati wewe utaenda kumuuzia mtu mwingine/watu wa dukani Elfu 31-32 ambapo hii ni Bei sawa na wanaouza maduka...
  13. Athuman Mpambije Athuman

    Maduka ya jumla ya pipi

    Nenda kitumbini- Jamhuri street, kule unapita mnazi mmoja.. chini kidogo ya soko la Kisutu na pembeni kidogo ya kituo Cha mwendo kasi Cha Kisutu Dar es Salaam. Huko utapata aina zote za pipi.. pia Chimbo lingine Nenda Kituo Cha Mwendokasi Cha Gerezani Kisha ukiwa umesimama hapo.. Tazama mbele...
Back
Top Bottom