Recent content by Atanas lugusi

  1. Atanas lugusi

    JamiiForums Tanzania Kuhama kwa Patrobas kuwafungue Macho WanaCHADEMA watiifu

    Umejitahidi kuandika vzr kwa mpangilio ila lengo lako liko wazi in kiki hao ccm wakutafute na wewe.
  2. Atanas lugusi

    JamiiForums Tanzania Hivi vyama vya upinzani wa watasimama 2020 kwa hoja gani dhidi ya Magufuli

    Hoja ni nyingi sana,wakulima wako hoi wafanyabiashara hoi wafanyakazi selikarini na sekta binafai hoi kama mambo mazuri nia ww pk yk na ccm yk
  3. Atanas lugusi

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Ruge ninayemfahamu!

    Ruge yuko vzr hajamtusi huyo jamaa pamoja nakukejiliwa
  4. Atanas lugusi

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    Mungu awape nguvu ktk kipindi hiki kigumu cha majonzi
  5. Atanas lugusi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Dodoma: Maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 2017

    Sio lzm zifanyike dom.hata zenje zaweza fanyika
  6. Atanas lugusi

    JamiiForums Tanzania Magari yaliyotumika kuvamia mkutano wa CUF ya Maalim Seif yakutwa ofisi za CUF Buguruni yameegeshwa

    Kambaya waeleze watanzania ukweli wa mambo kama hao vijana wa cdm ni wa upande wa Maalimu kwanini tena wawatembezee kichapo kundi la maalimu.muwe wazi mnatumika vibaya.
  7. Atanas lugusi

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    Umechambua vzr sana kama wana akili watayafanyia kazi.
  8. Atanas lugusi

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    Bongo move enzi za Kanumba kwa sasa utumbo mtupu.
  9. Atanas lugusi

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    Ili kuwe na ushindani wa kazi lzm tuwe na movies za nje na hawa bongomovies watafanikiwa kwa kujiongeza
  10. Atanas lugusi

    JamiiForums Tanzania CCM yapata hati yenye shaka

    Kila anaepata chance lzm apige hela ndefu kwa hiyo hati ni haki yao,
  11. Atanas lugusi

    JamiiForums Tanzania Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

    Mkoa wa pwani kuna tatizo gani? Mashambulio ya vituo vya polise na mauaji yote huko huko,Bunge lijadili kuhusu hill.
  12. Atanas lugusi

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Polisi wetu ni Ujambazi, Ugaidi au Retaliation? Nini kifanyike kukomesha hali hii?

    Selkari iliangalie hill kwa jicho LA pili
  13. Atanas lugusi

    JamiiForums Tanzania Full Time Yanga 1 - Mc alg. 0

    Hongereni ila msibweteke
Back
Top Bottom