Recent content by At School

  1. A

    JamiiForums Tanzania Katika ukoo wetu mimi ndiye wa kwanza kuwa mwajiriwa wa serikali, jifunze kitu hapa

    Tunashukuru kwa mafanikio yako. Je, hawa ndugu umewaomba pia wamtegdmee Mungu katikz maisha yao? Mungu ni kila kitu, waeleweshe na nduguzo. Hawajajachelewa. Kwa Mungu alofika asubuhi na alofika jioni wote wa Mungu.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Niko Singida hapa, nimeshangaa hadi leo hii huu mkoa sio jiji

    Hama singida huko.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania idadi ya watu imeongezeka lakini hali sio nzuri mkoa wa Kilimanjaro

    U Meolewa wapi maana kuoa hujakutaja ndg? Samahani lakini, nataka tu kujua. Wachaga wanaijua elimu. Nani mwandikishe mtoto wake shule ya kayumba? Mtoa mada hajasema utafiti kaufanya she za serikali au za binafsi hasa seminary?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwenye vijiwe vya boda boda kuna mambo ya ovyo sana

    M MKuu ushapata nafasi? Unaenda lini? Niombee na mimi nafasi mbili na ya mke wangu. TutKuja tu ila usituite wewe.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kwenye vijiwe vya boda boda kuna mambo ya ovyo sana

    U sikute hizo pea mwanaume ni yule mwenye boda mwingine wake hupewa day wako so anabembeleza kwa kutekenywa au kuny oon ywaa. Mungu atuokoe. Tunateketea.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi awa mbeba magunia

    Kabisa. Hiyo ni kiki tu. Je shamba alipata kihalali wakati ni RC Iringa? Maandalizi ya shamba aliyatekeleza kwa hela yake au kwa nafasi alokuwa nayo? Leo tunamsifu bila kujiuliza uhalali wa kulipata? Hakuna mnyonge aliumia? Umeme wa TAA NE SKO uliendaje? Maji ya Iriwasa yalienda kihalali...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Viongozi wetu ni wafupi

    Hao ni waliopo. Wasiokuwepo umewasahau. Ila tusijadili watu tujadili hoja. Ivi kwa mfano. Ajali. Imetokea, watu wana majeraha kila mahali na wanatokwa damu ajabu! Je, ni sahihi daktari nae kushangaa badala ya kutibu? Wanasiasa watuokoe kwa hoja na vitendo badala ya kuanza kushikana machoni na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Viongozi wetu ni wafupi

    Kipanya anatumia fani yake kuongea. Ktk jamii yenye tatizo, kumkabili mtu personally hiyi attack hairuhusiwi. Lengo ni ufumbuzi wa tatizo sio kutengeneza tatizo kwa kumkabili mtu personally. Nadhani ujumbe wa kipanya unalenga kulionyesha tatizo kisha litafutiwe ufumbuzi kwa njia sahihi. Wewe...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Vijana mna moyo, nime fake account leo nimemtongoza binti wa miaka 23, amenitukana matusi ya nguoni

    Mabinti Wote wanafanana ktk eneo hilo. Yawezekana kijana wako hatumagi ya bandle demu japo jirani yake lakini ashamchoka ndio maana werevu hawaowagi mtaani kwao.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanaenzi Hassan Suluhu ni mtoto wa Mama?

    Huku kwa nyenyere vp au siku hizi wana majina ya kiebrania. Wao hawagombei!!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wengi wa Serikali wana hali duni kiuchumi?

    Isipokuwa wa tiara ei.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Serikali itunge sheria kali kwa wale ambao wanaweka akiba ya fedha

    Kuwekeza pesa kuna viwango vyake. Kama hujafikia kiwango unachotaka kuwekeza sharti uweke akiba. Ni bank au utachimba shimo uweke utajua mwenyewe. Mimi sio mtu wa bank nikushauri upeleke bank. Hata ukileta nikutunzie sawa tu. Mleta mada ni mpiga pombe hivyo anawekeza huko maana kwenye pombe...
Back
Top Bottom