Sasa kama timu inachezaga mechi na wachezaji wanane 8 wa timu, kwa nini isipate shida siku ya kucheza na wachezaji kumi na moja wa timu pinzani, Bodi ya ligi nalo ni kikwazo kwao
Sent from my itel A661W using JamiiForums mobile app
Kila Station ni matangazo ya kubahatisha. Kila mara" cheza mkwanja" Je, studio hizi zimeshindwa kujiendesha hadi kuanza michezo ya kubahatisha?
Hii michezo ya kubahatisha kwenye redio kwanza hakuna uhalisia wa kushinda au kushindwa kwa sababu mteja hawezi kushuhudia ukweli.
Ila wanaobet...
Ni sawa Lakini siyo sawa, mwanafunzi Yuko form five Tabora boys, kwao ni Iringa, je, atakuwa anatoka Iringa -Tabora kwenda kusoma na kurudi Iringa kwa wazazi/walezi kila siku?
Siyo lazima kila kitu kianzie kwa democrat vs Republican (USA), Labour party vs Conservative (UK) . Ukisubr kila kitu uige kwa wengine hautakuwa mbunifu
Doctor ni kiingereza, kiswahili chake ni Mganga,wakiwa wengi ni waganga. Kwa hiyo tuwaite hivi, Mganga James, Mganga Nassoro, Mganga Elizabeth, Mganga Mwajuma.
Huyu jamaa anajishushia heshima kwa Sisi watz, Hivi haoni bei ya chakula bei iko. Mfano mchele wa kawaida kilo 3000/ ,maharage 3000 hadi 3500 , debe la mahindi elfu 20. Yote kwa yote, bei ya vyakula iko. Kwenye suala chakula, inabd siasa iwekwe pembeni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.