Recent content by assengagt

  1. A

    Benki ya CRDB yapunguza viwango vya riba ya mikopo na kuongeza muda wa marejesho kwa watumishi

    Kwani kama wewe ni mchakarikagi miaka mitatu mil. 35 utashindwa kupata hiyo mil. 11 yao?
  2. A

    Benki ya CRDB yapunguza viwango vya riba ya mikopo na kuongeza muda wa marejesho kwa watumishi

    Kwa miaka 6 wewe ndiye mnufaika, ila husiutumie kujenga msingi wa nyumba, utumie kumalizia project ambayo itaanza kuzalisha faida immediately
  3. A

    Benki ya CRDB yapunguza viwango vya riba ya mikopo na kuongeza muda wa marejesho kwa watumishi

    Riba imepunguzwa kwasababu mkopaji halazimishwi kukopa kwa marejesho ya miaka saba, nashauri wakopaji wajitahidi kujiwekea limit ya marejesho kati ya miaka 2 au 3.
  4. A

    Serikali yakanusha taarifa kuwa wenye leseni za biashara watoto wao watanyimwa mkopo

    Ufaulu uwe kigezo cha kupata mkopo, wale wa kipato cha chini kabisa wapatiwe ufadhili na siyo mkopo
  5. A

    Mchakato wa kuipandisha hadhi manispaa ya Moshi kuwa jiji wanoga

    Labda mkoa mzima maana kilimanjaro maendeleo hayako centralized
  6. A

    Kwani Azam TV Wataonyesha Kombe la Dunia huko Russia 2018?

    Siku ikifika nitanunua king'amuzi kingine kama azam hawatoonyesha na hiki cha azam nakiuza nusu ya bei.
  7. A

    Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Matatizo gani? Biashara kufa au wazazi kuwa wazee, hapo viambatanisho ni nini? Vipi wanaosomeshwa na wajomba au shangazi wakaishia njian hao nao waseme wazazi wao wamekufa ili kupata mkopo? Sijui kama naeleweka.
  8. A

    Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Vipi wazazi waliokuwa na uwezo wakati wanasomesha then mwishoni hali ikawa ngumu? Ina maana watoto wao hawatapata haki ya kusoma chuo kikuu?
  9. A

    CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    Siyo chuki mkuu, hakuna skilled labour kule kenya kutoka Tanzania. Huo ndio ukweli. Ukitaka ajira kule labla u lobby uraia. Kuna mkuu wa gereza kule namfahamu ni mtanzania ila wakenya wanajua ni mkenya[emoji12] [emoji12] [emoji12]
  10. A

    Mji wa Moshi kuwa jiji ni suala ambalo halihitaji mjadala, nini kinakwamisha?

    Pia Arusha inaimeza Moshi kimtindo, watu wanafanya shughuli zao moshi wanakwenda kulala Arusha hotelini, kuwa karibu na arusha kumedidimiza maendeleo ya mji wa Moshi, mimo mwenyew niko Moshi lakini vitu vingi nachukulia Arusha. Moshi haiwezi kuwa jiji leo au kesho, bado sana OVER!
  11. A

    Mji wa Moshi kuwa jiji ni suala ambalo halihitaji mjadala, nini kinakwamisha?

    Udom yenyew imeupandisha hadhi mji wa dodoma, pia, mipango iliyopo ili ifanyikiwe kwa haraka inahitaji dodoma kuwa jiji, so yes Dodoma ni jiji, Mosho tuachane na kihamba system na ukoo life.
  12. A

    Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

    Sasa mbona makaburini panaogopwa sana na kutumiwa sana na wachawi?
Back
Top Bottom