Recent content by askofu rashid

  1. askofu rashid

    JamiiForums Tanzania Hii ndo Zaburi ya 35 aliyotwambia tusome Halima Mdee

    Hakika
  2. askofu rashid

    JamiiForums Tanzania Hii ndo Zaburi ya 35 aliyotwambia tusome Halima Mdee

    ZABURI 35 Kuomba msaada (Zaburi ya Daudi) 1 Ee Mwenyezi-Mungu, uwapinge hao wanaonipinga; uwashambulie hao wanaonishambulia. 2 Utwae ngao yako na kingio lako, uinuke uje ukanisaidie! 3 Chukua mkuki na sime yako dhidi ya wanaonifuatia. Niambie mimi kwamba utaniokoa. 4 Waone haya na kuaibika...
  3. askofu rashid

    JamiiForums Tanzania Nataka nikae mbali na Social Media kuepuka siasa,nataka nianze utaratibu wa kusoma vitabu

    Asee nimekua rafiki sana wa mitandao ya kijamii tangu mwaka 2009 lakini naona hakuna kitu nimegain zaidi ya concentration yangu kuwa katika vitu visivyokuwa na maana. Kama niliweza kushinda jaribu la kupiga punyeto na kuangalia porn nadhani nitashinda. Nilichogundua mambo mengi tuyaonayo...
  4. askofu rashid

    JamiiForums Tanzania TANROADS na Manispaa ya Ubungo shughulikieni suala la foleni Mbezi

    ilo la machinga nakuunga mkono kila kona wamekua kero hata sisi watembea kwa miguu hatuna raha ya kutembea make unaogopa kumwaga vitu vya machinga huku boda boda wanakukosakosa
  5. askofu rashid

    JamiiForums Tanzania Ester Matiko: Kama Chama kikiona kuna mwingine anafaa zaidi ya Ester Matiko, niko tayari

    Adui mwombee njaa dah nimetafakari sana hii kauli
  6. askofu rashid

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

    Mi tangu 2015 nilishagapuuzia kitu kinaitwa siasa za wapinzani
  7. askofu rashid

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Vyombo vya habari Uganda vyakataa kurusha hotuba ya Museveni

    sa mbona jamaa katawala tangu 1986
  8. askofu rashid

    JamiiForums Tanzania Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

    kuna jamaa mmoja jirani yetu alikua na kacheo fulani uko mkoani Mara sijui alifanyaga kitu gani ila alilogwa alikuaga anakunya mawe yamoto walihangaika sana bila tiba mpaka walipofilisika nayeye akafa ndo niliamini uchawi upo
  9. askofu rashid

    JamiiForums Tanzania Hii ni Tabia ya Kiswahili ni ya hovyo na inakera sana

    Naipongeza serikali ya awamu ya tano, sina watu na marafiki wa dizaini hiyo
  10. askofu rashid

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tulieni huu sio wakati wa kuleta kokoro, Uongozi dhaifu wa Mwenyekiti kuishiwa mbinu na kuanza kutengeneza makundi tatizo lilianzia hapo

    sema magufuli mkali na katili kikwete alikua anawadekeza sana this time around no mercy
  11. askofu rashid

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    kilichopitishwa mbinguni hakiwezi kataliwa duniani
Back
Top Bottom