Kipindi chake ndio TRA walinyanyasa zaidi wafanyabiashara na biashara zilifungwa sana. Hata hayo mambo ya task force yalishamiri sana kipindi hicho sema watu walikuwa wanaogopa sana utawala.
Kama kweli amesema hivyo basi huo utakuwa in upotoshaji tu kwa sababu Ofisi ya CAG hukaguliwa kila mwaka na private firms. Nafikiri jamaa anataka kuendeleza ligi tu.
K........mamake yaani propaganda hadi kwenye haki za msingi za watu.Yaani mnaua makusudi tu halafu mnaleta propaganda kweli hii nchi tume
jaaliwa upole na utulivu tu sababu kitu amani hamna ukisema TZ kuna amani na Botswana,Ghana,Mauritius,Malawi utasema kuna nini.RIP kaka Daudi Mwangosi!
Tutabaki kuwa watu wa makelele bila kuwa na fact daima na pia propaganda zinatulevya zaidi ya kuchunguza uhalisia wa mambo.Sasa jamaa wanatumia fact ku claim ziwa (kuonyesha kuwa basis yao inakubalika kuliko ya kwetu ni kwamba mpaka wao ndio unaoonekana kwenye ramani zote za kimataifa) sisi...
Bw. Nikupateje tatizo letu Wabongo hatuna tabia ya kufuatilia mambo na kuya analyse bali sisi huwa tunaenda na matukio. Asilimia kubwa ya ramani za kimataifa ambazo ziko neutral (ukiachilia mbali zilizochapwa TZ au Malawi) zinaonyesha mpaka haupo katikati bali ni shoreline upande wa TZ lakini...
Sikatai uwezekano wa JWTZ kuwa jeshi imara. Kinachonisikitisha ni sisi wabongo kupenda tetesi na habari za kuambiwa na si kutafiti ili tujue ukweli halisi wa jambo fulani na hili ndilo linalotutofautisha na wengine kwa mfano, hivi ni wangapi tunajua vizuri hata maana ya jina Tanganyika?Ni...
Wanzazibari ni bora mfanye kila liwezekanalo mvunje muungano tena mkishauvunja mbebe na visiwa vyenu mwende navyo Arabuni hilo nadhani ndio litakuwa suluhisho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.