Recent content by Asiye na Chama

  1. Asiye na Chama

    JamiiForums Tanzania Kimeumana Vanilla Njombe: Ni utapeli mtupu

    Shida yetu wabongo tunataka kwenda na matukio sana bila kutafakari! Ile ya kware ilikua kali!
  2. Asiye na Chama

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Wananchi nunueni Majokofu mapya yale ya mitumba yanachafua hali ya hewa!

    Nilitaka kutoa comment kama hii!
  3. Asiye na Chama

    JamiiForums Tanzania CCM ni kati ya vyama vikubwa duniani (nyuma ya India, China, Pakistan na Uturuki)

    Ukimfumania mke wako utasema ni sawa kwa sababu na wa jirani alifumaniwa?
  4. Asiye na Chama

    JamiiForums Tanzania CCM ni kati ya vyama vikubwa duniani (nyuma ya India, China, Pakistan na Uturuki)

    Ni kweli, na miaka yote ya kutawala bado tunahangaika na matundu ya vyoo kwenye shule!
  5. Asiye na Chama

    JamiiForums Tanzania DC mteule ndugu "Mchopanga" alisoma shahada ya kwanza bila kuwa na matokeo ya kidato cha sita licha ya kuisoma kwa miaka mitatu

    Cheo cha DC hata mtu ambae hajaenda shule anaweza kupewa, it is not a professional post!
  6. Asiye na Chama

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Ulishamwoma mama akila mahindi njiani au kugawa mapapai? au akienda kuswali anarushwa kwenye vyombo vya habari?
  7. Asiye na Chama

    JamiiForums Tanzania Mama Janeth Magufuli ni mgonjwa kufuatia mshtuko wa kifo cha mumewe Hayati Magufuli

    Du sauti kama ya baba yake!
  8. Asiye na Chama

    JamiiForums Tanzania Kumshambulia Hayati Magufuli kunaweza ligawa Taifa na kupunguza nguvu ya CCM kanda ya Ziwa

    Kweli kaka, hata watu wa hali ya chini mambo yalienda vizuri, fikiria mpaka mchoma mahindi anaweza kumiliki bastola!
  9. Asiye na Chama

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Ameshikiliwa lakini hadondoshi vinywaji!
  10. Asiye na Chama

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kuwa Mwanasiasa

    Kuwa mwana siasa kianzio uwe na unafiki wa kutosha, na usiwe na aibu!
  11. Asiye na Chama

    JamiiForums Tanzania Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

    Ni kweli kabisa, ila akiendaga kwa nini wanaposti?
  12. Asiye na Chama

    JamiiForums Tanzania TANESCO tuambieni nini kinaendelea huko Mbeya maana umeme kukatika imezidi sasa

    Na Mwanza je, umeme nao unasumbua sana!
Back
Top Bottom