Tatizo letu watanzania ni kulalamika, hakuna anayetoa mawazo ya kurekebisha, kuelekeza, maoni ya kujenga. Ni malalamiko kila siku, mara Serikali haijafanya, haikutakiwa kufanya, mara Rais kakosea. Malalmiko mpaka majumbani mwetu.
Kwa mtaji huhu hatutaweza kuendelea maana hata hao wanaojiita...