Pinda amvaa Lowassa: "Kuvunja Baraza" yataka moyo!

Jamani, hiyo posho inawashangaza nini ? Tangu ukoloni ipo cha ajbu hapo nini ?
mmmh Watz bana!kwa hiyo hata kama ipo iachwe tu kwani hujui ni 50 yrs after colonial domination?mi nashangaa kwanini zipo !Pia unataka kutuaminisha kuwa kitu hata kama madhara yake yako wazi tuendelee nacho tu kisa kilikuwepo tangu ukoloni,shame on you!Hata kama utasema zipo kisheria,basi hiyo shereia ni ya kibaguzi hivyo inatakiwa kuwa nullified kwani inakwenda kinyume na katiba yetu ya 1977,ebu tuwe waungwana,hivi sheria ipo kwa ajili ya kutuumiza wananchi?kama vp ibadilishwe ili iendane na mazingira ya leo.

POSHO ZOTE HIZO ZA NINI?WAKATI WANANCHI HAWANA MAJI,MADAWATI NA WALIMU HAWANA NYUMBA?KWA MTIZAMO HUU WA WATU WENGINE,HATA WAKIONGEZA YA USUMBUFU WA KUSIMSAMA KUCHANGIA BAJETI ITAKUWA SAWA?
 
Jee, angekataa "resignation" ya Lowassa?
Resignation ni kutoa taarifa kuelezea nia na sababu ya kufanya maamuzi hayo na mwajiri hawezi kukulazimisha ubaki kwenye post yako but anaweza kukushawishi au kukusihi uendelee,kukubali au kukataa ni hiyari yamwajiriwa. Kwa case ya EL ni yeye mwenyewe ndie alichukua maamuzi magumu ya kujiuzulu na si JK wala serikali kwa kuwa hatukusikia kikao chochote cha baraza la mawaziri kilichofanyika kumtaka EL ajiuzulu. Suala la kuvunja baraza la mawaziri baada ya EL kujiuzulu si kwamba JK alifanya maamuzi magumu bali alikuwa anatekeleza constitutional requirement pindi inapotokea waziri mkuu anatoka madarakani kwa sababu husika, hayo si maamuzi magumu wala hana haja ya kutafakari, kujiuliza n.k because it's just written there in the constitution!
 
Unajua hata Mizengo Pinda anaonekana kweli kapinda kama hata hajui katiba ya nchi hii, inatia mashaka tena sana, eti anajiita mtoto wa mkulima
wakati anapenda posho kama nini, mbona wakulima ninaowajua mimi huwa wanategemea kilimo na si posho sasa huyu anajiita mtoto wa
mkulia wapi na wapi....kwanini asitegemeee mshahara tuu??????
 
Mimi aliposema kazi za wabunge ni pamoja na kugawa pesa nilimuogopa.
PM ansema posho ni kwa ajili ya ugavi, yaani tupange foleni bungeni tugawiwe kama njugu?
 
Duh hii kali huyu JK inabidi ajue tunaanza jua mengi

Hadi shopping wakienda nje?

Sasa bei za hivi vitu tuleteeni basi nyie wa ndani tujue million ngapi wanapata.

Duh kumbe pia ndio maana safari kwa waganga wengi wao hawaachi
 
Huo udhaifu ndo tunautaka ili waanguke vizuri 2015

nimeisikia lakini ana base sana kwenye takwimu kama kwenye suala la TAKUKURU, kiukweli hawa jamaa wako dhaifu sana na naona anawatetea
 
Du!Mazee kumbe na Vincent Nyerere nae anapata hizi zote!!!!Ni halali alale kwenye baa.

Hili bunge linapaswa kuitwa hivi.... ''Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Posho Tanzania''..

Kumbe ndio maana hata watumishi wa Serikali wamegeuza hata jina si ''posho'' tena ila wanaita ''Kilimo Kwanza''. Teeeh.....teeeeh.
 
Where is CCM going? hivi watakuwepo baada ya uchaguzi wa ndani ya chama mwaka kesho?
 
Vilaza ni sisi tunaishindwa kufanya maamuzi magumu ya kuwafukuza hawa watu kwenye uongozi, huyu pinda kama ni dawa tayari keshapatiwa za kutosha sasa anangoja nini huku hana analofanya ni mbumbumbu na mshamba mkubwa, hana hata hadhi yakuwa waziri mkuu. Tatizo tunaongea mno ndio maana tunawapa kiburi wanajua hatuna guts za kufanya maamuzi magumu na kuyatekeleza. I can not wait for the day shujaa yoyote yule atakapoweza kutuongoza maandamano ya kuwafukuza hawa nchini kwetu wakatafute nchi nyingine maana kwa huu uhaini waliotufanyia hawafai hata kuwafunga maisha. Waondolewe
usisubiri watu wengine waanzishe mapambano,hata wewe unaweza kuongoza mapinduzi.Acha fobia!
 
kamati ya bunge ya kusimamia rushwa inayoongozwa na kambi ya upinzani haitakuwa na maana kama wamebadilisha maana ya kambi ya upinzani...
 
Back
Top Bottom