hao matrafki wanawajibishwa na Nani we we.....viongoz wangekuwa wakali hilo gar lingekuwepo mpaka Leo barabarani....na kama raisi angekuwa anaenda chamanzi ingtokea iyoo foleni
nlizaliwa Kilosa.nkasoma Kilosa vidudu mazinyungu msingi.nkasepa then nkabatizwa Kilosa kkkt na badae kipaimara kkkt.Mimi n mjuukuu wa ngowi (r.i .p babu) ngowi garage na bado IPO mpaka sasa.ila basi la remember babuu lilishakufa lilikuwa likienda kilosa mikumi....ukumbi maarufu ulikuwa shimaki/...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.