Recent content by ashley27

  1. ashley27

    Alhikma nursery and primary school- Temeke

    Nimejaribu kufanya hiyo na namba niliyoikuta nikijaribu kupiga anapokea mtu mwingine anadai hausiani na hayo mambo ya shule ni kwamba namba hiyo itakua imegaiwa mara 2 yan kwa watu 2 tofauti. Ndomana nikalileta humu uenda kuna mwanaJF anamtoto, ndugu au jamaa yupo pale nikaweza kupata...
  2. ashley27

    Alhikma nursery and primary school- Temeke

    Habar wapendwa.. naomba mwenye namba ya simu ya shule ya Al-hikma au kujua details zake (fee structure) kwa primary student- anatarajia kuanza darasa la kwanza
  3. ashley27

    Natafuta mume

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji13]
  4. ashley27

    Natafuta mume

    Kabisaa.. inawezekana
  5. ashley27

    Natafuta mume

    Inawezekana kuachana mkuu
  6. ashley27

    NSSF Temeke

    Poleni sana, acha nianze kufanya hyo research ili ikiwezekana nitoke mapemaa
  7. ashley27

    NSSF Temeke

    Daaah niko kwenye huo mfuko Ila mfuko wa kuchangia kwa hiari
  8. ashley27

    NSSF Temeke

    Njia ya kuelekea sokoni stereo?
  9. ashley27

    White Lake Secondary School

    Kwa anayejua shule ya sekondari white lake naomba aniambie mahali ilipo na details zake
  10. ashley27

    NSSF Temeke

    Ofisi za NSSF temeke zipo sehemu gani?
Back
Top Bottom