Recent content by Ashasembeko

  1. A

    JamiiForums Tanzania Balozi za nchi za Nordic (Denmark, Sweden, Norway na Finland) zatuma ujumbe kuhusu mauaji katika uchaguzi

    Balozi za nchi za Nordic zimetuma jumbe tofauti kwenye kurasa zao za Instagram kuhusu mauaji yaliyofanyika katika uchaguzi wa tarehe 29. Ubalozi wa Finland unatoa rambirambi zake za dhati kwa wote waliopoteza wapendwa wao na kwa wale walioathiriwa na matukio ya hivi karibuni baada ya uchaguzi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Ni JPM huyu huyu ambae wizara yake ya mambo ya nje ilitoa tamko kumkana Makonda dhidi ya vita yake ya Ushoga baada ya wafadhili kuanza kukata misaada? Ni JPM huyu ambae waziri wake Kangi Lugola alisema hadharani kwamba mashoga wapo salama nchini na hawatoguswa? Ni JPM huyu huyu aliemuhakikishia...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa kumrudisha aliyekuwa Mkurugenzi wa MSD

    Nakusahihisha tu kuwa huyu Mkurugenzi amekaa mwaka mmoja na miezi 11 anakaribia miaka miwili asipotumbuliwa mwezi May... Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
  4. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Wananchi hatutaki madalali wa kisiasa kuingilia ujenzi wa reli ya SGR, tunataka plan ya Hayati Magufuli iheshimiwe kwenye SGR

    Una moyo sana kubishana na watu wasiotaka kuelewa. Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
  5. A

    JamiiForums Tanzania Utetezi wa Gazeti la Raia Mwema kabla ya kufungiwa

    Kuna kitu hakipo sawa. Barua inasema imeandikwa Tarehe 5 Agosti, ila matukio ya kutuhumiwa yametokea tareh 27 na kuendelea. Au walikosea, walitaka andika Tarehe 5 September?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nani anaongoza nchi?

    Nani JK au Magu? Wote hawakuwa na maajabu... hakumbukwi mtu, tunataka kiongozi anayeheshimu katiba na taasisi zetu. Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nani anaongoza nchi?

    JK ni mmoja waliokatishiwa mawaailiano, siyo yeye. Think deeper Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nani anaongoza nchi?

    Hili ni swali kila mtanzania inabidi ajiulize. Unakuwa na Rais anasema polisi waache kuonea watu, hapo hapo anasema ameruhusu mikutano ya ndani ila haya maagizo yake yanakaidiwa na watu ambao inabidi wamtii kama Amri Jeshi Mkuu. Tunaona polisi wakiendelea kuzuia wanasiasa kufanya mikutano yao...
  9. A

  10. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia si Hayati Magufuli. Washauri wametambua, wanamtumia

    Imeandikwa na Ansvert Ngurumo kulitia Sauti Kubwa Rais Samia Suluhu aliwahi kusema kuwa yeye na hayati John Magufuli ni kitu kimoja. Wapo walioyabeba maneno hayo kama yalivyo. Wapo walioyatafakari na kuyachambua. Ukitazama baadhi ya mambo mazuri aliyotenda Samia ndani ya siku 100 za kwanza...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Je, Samia ni Rais kivuli kama inavyodaiwa na vyombo vya habari vya nje?

    Turejee hapa Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
  12. A

    JamiiForums Tanzania Je, Samia ni Rais kivuli kama inavyodaiwa na vyombo vya habari vya nje?

    Wanajua sasa? Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
  13. A

    JamiiForums Tanzania Je, Samia ni Rais kivuli kama inavyodaiwa na vyombo vya habari vya nje?

    Natumaini ni kweli. Tushaichoka CCM. Sasa hao wanaoongoza nchi kwa mgongo wa Samia watakubali kuachia madaraka kirahisi? Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
  14. A

    JamiiForums Tanzania Je, Samia ni Rais kivuli kama inavyodaiwa na vyombo vya habari vya nje?

    Hao wanaoendesha nchi ni kina nani? Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
  15. A

    JamiiForums Tanzania Je, Samia ni Rais kivuli kama inavyodaiwa na vyombo vya habari vya nje?

    Ila Mabeyo si ndio alisaidia kumiweka hapo. Pia, unataka sema hao wakuu wa vyombo bya usalama ndio wanaendesha nchi? Hamna anaewaamuru nyuma yao? Kwanini Samia asiachie ngazi kama yamemshinda? Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom