Recent content by Asha Ommary

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mdau: Mlitaka Rais afanye nini kuhusu tozo ya miamala ya simu?

    Na Hilo ndilo linakwenda kutizamwa, Mwalimu Nyerere alisema ni lazima tuchukue kodi lakini kwa wakati ule alisema kwa sasa sichukui toka kwao kwakua hawana kitu, maana yake ni kwamba serikali itazingatia hali za wananchi
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mdau: Mlitaka Rais afanye nini kuhusu tozo ya miamala ya simu?

    Waziri kaeleza vema kwenye Elimu itatolewa penye marekebisho patarekebishwa ila hatuwezi kuepuka kulipa kodi
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mdau: Mlitaka Rais afanye nini kuhusu tozo ya miamala ya simu?

    Sambamba na kushuka huko, tozo zilizofutwa na kupunguzwa katika bajeti hii zinaleta nafuu ukichanganya na strategy yake ya kurudisha fedha kwa wananchi kwa kulipa madeni inaongeza mzunguko hivyo tutahimili tozo hizi hapo mbele
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mdau: Mlitaka Rais afanye nini kuhusu tozo ya miamala ya simu?

    Uzalishaji hauchochewi kwa kuni ila miundombinu bora, Elimu na ujuzi wa kisasa, Afya bora n.k
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mdau: Mlitaka Rais afanye nini kuhusu tozo ya miamala ya simu?

    Nchi inajengwa na walipa kodi, haiepukiki kulipa kodi, tunahitaji shule, barabara, hospitali n.k serikali imeeleza strategy zake ili mzunguko uongezeke
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mdau: Mlitaka Rais afanye nini kuhusu tozo ya miamala ya simu?

    Jinsia ni muonekano sidhani kama kuna haja ya kujitetea
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mdau: Mlitaka Rais afanye nini kuhusu tozo ya miamala ya simu?

    Katika awamu hii ya sita hakuna jambo ambalo linapaswa kupongezwa kama utulivu, hekima na maarifa aliyoyaonyesha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kipindi hiki ambacho alipitia magumu kama Rais wa Nchi kwa kupambana na mtikisiko wa kiuchumi kutokana na janga la korona ambalo ni kwa Dunia nzima kila...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania na mitazamo ya chongolo na Shaka

    [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji28]
  9. A

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania na mitazamo ya chongolo na Shaka

    [emoji23][emoji23][emoji23] loooooh
  10. A

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania na mitazamo ya chongolo na Shaka

    Mungu awaongoze [emoji120]
  11. A

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania na mitazamo ya chongolo na Shaka

    Ilikua kuna haja kuzima sintofahamu iliyokuepo kwa wakati huo, sidhani kama kibajaji akiwa na hoja juu bajeti zinazopitishwa atanyimwa fursa, mbona wengine wanazungumza?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania na mitazamo ya chongolo na Shaka

  13. A

    Kila zama na kitabu chake ingawa haimaanishi kitabu kinachoandikwa sasa hakina uhusiano na kitabu kilichopita
  14. A

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania na mitazamo ya chongolo na Shaka

    Sawa sawa na ahadi na msisitizo wa Shaka juu ya siasa safi.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania na mitazamo ya chongolo na Shaka

    Nimekuwa nikiwatizama wale tunaowaita “mother of democracy” lakini sijawahi ona wakiendelea na siasa za majukwaani katika majimbo na badala yake ni mijadala katika sehemu fulani na katika media, au nipe shule zaidi katika hili
Back
Top Bottom