tume inafanya chunguzi ambazo ni miongoni mwa hatua za mwanzo muhimu..katika majaribio ya chanjo ambayo mara nyingi yanafanyikia maabara, kama kucheki sterility ya product husika, na kama kweli ni chanjo kama wanavyosema au unaweza kukuta wamekuekea maji tu humo wakakwambia ni chanjo au wameweka...
hivi kwanini kila serekali inapo zungumzia kuhusu COVID-19 aidha idadi ya wagonjwa, au kuhusu chanjo au kuchukua tahadhari, basi watu wanakuja na hoja za "wanaipigia debe COVID-19 ili wapate mikopo sijui nn na nn..
njia gani itumike kuwaelemisha watu juu ya hili suala?
Kwa watarajali, intern doctors, intern pharmacists na kadhalika.
Nakumbuka tunapokuwa shuleni sekondari kunakuwa na zile fikra kwamba zipo kada ambazo ukizisomea uwapo chuoni basi ajira ni nje nje, hivyo watu wanaenda kusomea kada hizo akiwa na wazo kwamba hatopata shida ya ajira baada ya...
kuzingatia matumizi sahihi ya dawa ni jambo muhimu na jukumu la kila mmoja wetu,
Unapopewa dawa sehemu yoyote iwe hospitali au famasi za jamii hakikisha umepewa maelekezo ya kutosha ya namna ya kutumia dawa husikana kama kuna kitu kina kutatiza ama hukielewi muulize mtaalamu wako.
Dawa hiyo...
Rejea picha hapo juu
(picha kutoka mtandaoni)
Hayo ni makubaliano ambayo unahitajika kusaini kabla ya kupokea chanjo, kwamba uko tayari kwa lolote lile litakalo tokea na serekali haito wajibika.
Je, hii ina maana gani?
Je, ni kwamba Serekali haina imani na chanjo hiyo?
Au wanafahamu wao kwamba...
Salamu,
Kwa ujumla ndoa ni jambo kubwa lenye wigo mpana na mambo mengi ndani yake ambayo si siku moja wala mwaka utatosha kuyaelezea yote.
Hakuna ndoa iliyo kamilika kwa 100% wala binadamu aliye kamilika kwa 100%.
Lakini yapo mambo machache angalau kwa kuyafuata yanaweza kukubadilisha kutoka...
wana bahatisha bahatisha tu unakuta mechi moja ya ovyo ovyo huko wanapiga goli saba, mechi za muhimu kama derby bado kikosi hakiko serious kabisa kulingana na uzito na pressure ya derby
Salamu wanajukwaa.
Elimu juu ya chanjo, kitaalamu 'vaccine'
MAANA YAKE
Kwa ufupi, hizi ni biomolekuli ambazo hupewa mtu kwa lengo la kuupa mwili kinga ya kupambana na ugonjwa fulani. hivyo basi, chanjo si tiba bali ni kinga dhidi ya ugonjwa husika (ikimaanisha chanjo ni maalumu kwa ugonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.