Leila Sheikh,
Ana content nyingi sana ya kihistoria; nyingine ambazo hazina rekodi hata kidogo, ama kama zipo ni zimefichwa katika makavazi. Napenda maandiko/ mawazo yake (yale ambayo ni public na yasiyo public) maana huwa najifunza mengi sana.
Leila mimi kama mdau ambaye huwa nafurahishwa na...
Habari Wana JF,
Nimesukumwa Kuweka mawazo Yangu na kukusanya muongozo wa kumbukumbu ili iwe rahisi kupima ushindi haswa kwa watakaochaguliwa kutuwakilisha Bungeni. Bunge limekuwa likilaumiwa kuwa na mapungufu mengi ambayo mara nyingi huonyesha ni sabbat ya uwingi wa Watawala kwa wakabi hue CCM...
Tamuuuuuu,
Suala la kwanza na kukupongeza ni wewe kutambua kuwa una tatizo. Matatizo ya nature hii mara nyingi wahusika kidogo kunakuwa na upofu wa kuona na kukubali unatatizo.
Suala la kiuchumi, ni changamoto ila usikubali likutawale. Kumbuka na ugonjwa/virusi hivi vya Corona, vinabadili...
Barafu ya Moto,
Kama binadamu tumetofautiana sana tabia. Kila binadamu ana kila tabia, ila tabia zinazotamba ndani yetu zinatofautiana mmoja na mwingine. Hii siku, haimaanishi kwamba akina mama ndiyo bora kuliko akina baba, kuna familia ambazo mama ni ovyo kabisa, ila tukubali kwa takwimu ni...
Mrisho,
Ningependa kufahamu haswa vigezo ambavyo unavyo vinavyofanya uone 'Mothers' are overly exaggerated. Ili pia nione/elewa kitu ambacho pengine kimenipita.
The Monk,
Nikifikiria maisha yangu yalivyokuwa na mahusiano yangu na Mama na baba yangu, ninatambua jinsi ilivyo mtihani mkubwa sana kwa mzazi mwenye kuwa maelezi mema kwa watoto. Ukipatia umepatia moja kwa moja, ukikosea umekosea moja kwa moja, ni wachache wenye uwezo wa ku reverse makosa...
Super Villain, huwa napenda kukumbusha kwamba siku kama hizi, siyo kwamba ndiyo siku mhimu kuliko zote zilizobaki, ila tu ni wasaa kwakutukumbusha kuwa makini kutambua nafasi za Mama zetu na kama tumejisahau basi turudi kwenye mstari ili kuwa watoto wema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.