Mm nadhani hii tayari imekuwa expired issue kwani kuijadili muda huu haina manufaa tena maana kila kitu limeisha,tungekuwa wamaana sana kama tungetoa angalizo kabla ya mchakato ni tetesi.
Kwanza ulipaswa kufanya utafiti mzr kabla hujaingia,lkn kwakuwa umeshaingia hama kimya kimya bila hata boss wako kujua suala la pesa tena mate chini na useme hii ni hasara kama hasara zingine, vinginevyo muite ukae naye chini mwambie kuna ndg yako amekuachia nyumba yake yeye kuhama kikazi na...
Viongozi msipende kutumia lugha za kijeuri jeuri pale wananchi wenu tunaposhindwa kuwaelewa na kuwahoji,njooni na majibu sahihi kwa wananchi pindi muulizwapo jambo!,uzuri tunaye mama.
Isingekuwa rahisi ww kupata taarifa za simba maana huhusiki kwa lolote na kwa sasa usitemee kupata taarifa za simba kienyeji,it's very proffesional club for nowadays.
Mama yupo vizuri sana tu ila nafikiri waliopo chini yake siyo wazuri wengi yaani hawana uzalendo, fikiria kama Mbunge wenye mshahara wa zaidi ya ML 7 hachangii kodi,anaye changia kodi ni mtu wa chini kabisa ambaye hata mlo mmoja kwa siku ni shida ndiye anaye kamuliwa zaidi na wanao panga yote...
Huna akili sawasawa na usiwalaumu TFF, na isitoshe wewe siyo Mwana michezo umewezaje kujua taratibu za huo mchezo?, Kaizer chief ya wapi iliyo cheza trh 12?,usitufanye na sisi hatujui mpira kama wewe, sisi tunaujua, so simba haikuhusu kaa kimya iacje simba yetu.
Bora asafiri itasaidia kutengeneua mazingira mazuri zaidi kidipromasia KIMATAIFA, na tuliona aliyekuwa hawezi ktembelea wenzake na suala la uchumi lilipo kuwa linaelekea., Ikafika mahara hata hatuwezi kuuza hata bizaa zetu nje ya Nchi , wengine walianza kusema bizaa zetu hazina ubora.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.