Recent content by asanusye

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

    Kuna Watu ni Manabii sema hawajajijua tuh.Onanaaaa sasa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe umesikitisha watanzania na unapaswa kupingwa na kila mtu

    Huna hoja bali kiroja
  3. A

    JamiiForums Tanzania Meya wa Ubungo: Nitakuwa natoa posho zangu zote kusaidia wajasiriamali Ubungo

    Aje na Kwetu jamani
  4. A

    JamiiForums Tanzania Jiji la Arusha katika kashfa nzito, Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Athuman Kihamia matatani

    Maghufuli njoo huku umtumbue huyu, akujui upendagi ujinga
  5. A

    JamiiForums Tanzania Meya Arusha ametuvisha nguo CHADEMA na UKAWA nchi nzima na pigo kwa wateule viherehere

    Nashukuru Mungu baba Muumba wa vyote, nimerejea Dar es salaam kutoka Musoma(ALAT) nikiwa bukheri wa Afya. Ni imani yangu uwakilishi wangu kama Meya wa Kinondoni katika jumuiya ya serikali za mitaa chini ya mkutano wa wakurugenzi, mameya na wenyeviti wa halmashauri nchi nzima ndiyo ilikuwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Meya wa Kinondoni ni hatari kwa uhai wa CCM Kinondoni

    KWA TAARIFA ZA HUDUMA HII ALIYO ZINDUA WANANCHI KINONDONI WATAISAHAU CCM TIKA TIKA Tiba kwa Kadi yazinduliwa na Meya Boniface Jacob Kinondoni. Mstahiki Meya wa Boniface Jacob Jana tarehe 5/8/2016 amezindua huduma ya afya inayoitwa Tiba kwa Kadi katika manispaa yake. Huduma hii ya TIKA...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Zitto akirudi bungeni Oktoba, nitatembea kutoka Kibaha hadi Posta

    Kwani miye mjinga naona kabisa kikwete nampigia kampeni mpinzani alafu Leo niseme ameshinda?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Zitto akirudi bungeni Oktoba, nitatembea kutoka Kibaha hadi Posta

    swali langu najiuliza ni kweli zitto karudi bungeni au karudishwa?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Vincent Nyerere: Mbunge wa 'hovyo' kuwahi kutokea Musoma mjini

    Naona umeonyesha uzezeta wako dhahiri unapoamua kuchanganya majukumu ya mbunge na mkuu wa mkoa.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Zitto akirudi bungeni Oktoba, nitatembea kutoka Kibaha hadi Posta

    Viti vya serikali za mitaa kigoma mjini ni ka ifuatavyo ACT_viti 10 CHADEMA - Viti 11 CCM - viti 43
  11. A

    JamiiForums Tanzania Zitto akirudi bungeni Oktoba, nitatembea kutoka Kibaha hadi Posta

    Naanza na usemi wa zamani wa "ujanja mwingi mbele kiza", ndivyo ilivyo kwa ZITTO ZUBERI KABWE, aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kupitia CHADEMA. Nimetoka kigoma janaJULY 2 2015,kwa ziara yangu ya siku 20...kijiji kwa kijiji na kata kwa kata jimbo la kigoma mjini. Nikiwa nafanyia kazi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

    Usiwe unakula lunde mchana alafu bila maji mkuu...ona sasa madhara yake.unachafua hali hewa humu Jf.nategemea baada ya hii posti yako lazima utakuwa umeenda msalani mkuu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA waliokamatwa na zana za Kijeshi, waachiwa kwa dhamana

    Wale walinzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo waliokamatwa na Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya kwa kusadikiwa kuhodhi vifaa vya kivita na kijeshi wameachiwa huru kwa dhamana. Dhamana hiyo ilitolewa na hakimu mkazi wa Wilaya ya Momba muda huu. Vijana hao ambao mi Methew A Mwafongo na Salehe...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe azidi kukaidi: Sasa Kuchukua Vijana wa National Service kuimarisha Red Brigade!

    SimbaKibogoyo Kunde siyo chakula kizuri kaka ona sasa ukishiba unavyo fanya hapa Jf
Back
Top Bottom