Jiji la Arusha katika kashfa nzito, Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Athuman Kihamia matatani

Kaliua anatuhumiwa hapa Arusha ushahidi upo wazi.Kuna taarifa kuwa haya mafuta yamechukuliwa na RC!haya ni matumizi mabaya ya fedha za umma!

Shame
Shame
Shame
Shame
Shame
Mh Rais tunaomba uchukue hatua
 
Na hapo ndio mjue faida ya jiji kuwa chini ya upinzani.....

Wangelikuwa wale magamba wenzangu sizani kama tungezipata hizi.......

Huyu akilala hatoamka.......

Akiamka atolala........

Hivi kuna vidagaa bado wanacheza na huyu mzinza wa magogoni ......

Angalau ingekuwa sangara
Watendaji huteuliwa na nani?
 
Wacheni propaganda za kuchafuana wakuu. Najuwa Halmashauri imebanwa mambo mengi kwa sasa madiwani wanamsukia zengwe ionekane Mkurugenzi ni tatizo. Mambo huwa hayaendi hivyo.
 
Wacheni propaganda za kuchafuana wakuu. Najuwa Halmashauri imebanwa mambo mengi kwa sasa madiwani wanamsukia zengwe ionekane Mkurugenzi ni tatizo. Mambo huwa hayaendi hivyo.

Nimeweka ushahidi wa wizi wa mafuta.Data hupingwa kwa data mambo ya madiwani hayahusiki hapa mkuu
Kama ni zengwe weka data
 
Hongera sana madiwani wote wa Arusha chini ya uongozi wa Mayor wa Jiji Arusha Kalisti Lazaro huu ufisadi Halmashauri ingekuwa chini ya CCM tusingejua tunasubiri kuona Mkuregenzi akichukuliwa hatua husika.
 
wanaviziana tu,ile kufuta posho ya laki tatu ya nauli imewauma sana waheshimiwa madiwani
Mbona unachangia nje mada? kaanzishe thread kuhusu posho za madiwani tutakuja kukujibu hii inahusiana ufisadi ambao umefanywa na Mkuregenzi wa Jiji la Arusha.
 
Kuna harufu ya mchezo mchafu wa kuchafuana unaendelea hapa.time will tell kila Kitu kitajulikana.
Hakuna mchezo ni tuhuma za ufisadi ambao umefanywa nilidhani ungewapongeza madiwani kwa kufichua huo ufisadi.
 
Manispaa zilizopo chini ya Chadema kashfa zimezidi![/QUOTEKashfa zimezidi kwa sababu Halmashauri zipo chini ya Chadema hatutaki kuficha mafisadi ndo maana taarifa zao zinatolewa kama huyu Mkuregenzi wetu
 
Heee huyo Mkurugenzi anaendesha Buggati ? Au ni hizi hizi Toyota ?

Halafu si ndio huyu Mkurugenzi anatakiwa Tabora akatoe maelezo ya milioni 500 alipokua mkurugenzi Tabora au nimemchanganya ?
 
Ushahidi uko wazi kabisa Mkuregenzi anatumia mamlaka yake vibaya kutoa mafuta kwa matumizi ya kukusaidia chama.
Dokezo sabili 1.jpg

Dokezo sabili 2.jpg
 
Na hapo ndio mjue faida ya jiji kuwa chini ya upinzani.....

Wangelikuwa wale magamba wenzangu sizani kama tungezipata hizi.......

Huyu akilala hatoamka.......

Akiamka atolala........

Hivi kuna vidagaa bado wanacheza na huyu mzinza wa magogoni ......

Angalau ingekuwa sangara

Kwa upuuzi wa namna hii Gambo anaeza poteza nafasi yake mapema sana
 
Back
Top Bottom