Recent content by asakuta same

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tumewaona, tumewasikia, mpo ambao hamkumaanisha!

    Kutaka Mabadiliko ya katiba siyo kuivunja katiba, kuhujumu uchumi, ufisadi na kubaka demokrasia ndiyo uvunjifu wa Katiba. Sasa tuone watakaoilinda au kuivunja ni wepi!?
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yatawashindaaaa haoo!

    Mmmmmh umetibuliwa tayari.
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifurahii kuwa 'single woman', sijui nifanyeje

    Mmmmmh kwa hiyo avatar yako nahisi ujumbe wako ulikuwa unawalenga same same jinsia..... Kwa hali hiyo usingle utakuhusu sana.
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko Java Excutive Pub madada meza ya mbele wanachukua dawa ya bikra kwa masai!

    Njoo nikuelekeze kwa masai. Lol!
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko Java Excutive Pub madada meza ya mbele wanachukua dawa ya bikra kwa masai!

    Unataka kuifanyia nini bikra!?!lol!
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amerudi na shanga kiunoni

    Mabadiliko Mabadiliko Mabadiliko....... Unayaogopa tena Mabadiliko Ndugu!?
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wakiuguliwa na waume zao wanakuwa na amani badala ya huzuni?

    Kulikuwa hamna ndoa na mapenzi kati yao.
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama baba ungechukua hatua gani kwa kijana wako wa kiume

    Watu wengine ni silent killers na wazee wa masafa marefu.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Team Lowassa itakwepwaje? Watatenda kwa haki?

    Hao team Lowassa waliopo huko lumumba ni wanafiki tu.
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

    Tuchepuke mm na wewe km ni rahisi hivyo, usisupoti upumbavu.
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

    Mweeeeh kweli hiyo papuchi ni mali ya umma. Kama muumini mwenzako mtamu, vunja ndoa ukaishi naye.
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Men, Do you ever feel guilty for breaking a woman's heart?

    Hahaha, hebu nitafute.
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Men, Do you ever feel guilty for breaking a woman's heart?

    Teh! Wanawake wengine bana, sitaki nataka zinakuwa mingi sana. Pole sana, endelea na maisha mengine.
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada, hili tatizo linanitesa sana

    Endelea kupiga misele mzee wa misele utafanikiwa, teh!
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Tuondolee uharo wako humu.
Back
Top Bottom