Ni kwa bahati mbaya Sana wasiopenda maendeleo ya nchi yetu watapinga Kila kitu. Wanamwogopa Rais wetu alivyojitambua na kuthubutu kufanya Yale mabeberu walizuia yasifanyike kwa miaka mingi. Eneo linapojengwa bwawa kwa ajili ya nishati ya umeme Ni dogo Sana ukilinganisha na ukubwa wa hifadhi ya...
Ukifanya maandamano na hayo maandamano hayana kibali utapigwa tu na utapigwa saana, maana hamna njia nyingine. Nakushauri ujiepushe na maandamano yasiyo na baraka ya serikali.
Mtoa maada umesema ukweli. Rais Dr Magufuli ana uchungu was kweli na nchi hii. Anawapenda watanzania, in mzalendo was kweli. Ana dira ya nchi inayoeleweka. Mungu umlinde Rais wetu.
Uzi huu in uchochezi mtupu. Na aliyeandika hana uzalendo wa kweli. Anajaribu kuwalisha maneno wana Mbeya. Mbeya inahitaji maendeleo siyo kila Sikh siasa za fujo. Uchaguzi ulikwisha 2015 acha wananchi washirikiane na serkali kuleta maendeleo
Akina Sugu wamechemsha, wanatuharibia Mbeya yetu. Wacha washugulikiwe ili jiji letu la Mby lipewe heshima inayostahili. Haiwezekani viongozi katika mji mkubwa kama Mby hawawezi kijiheshimu na kuendesha maneno ya kihuni namna hiyo. Waache wafikishwe kwenye vyombo vya sheria. Wana Mbeya amkeni...
Hii inatuamsha waafrika. Maendeleo yetu yataletwa na sisi wenyewe na kizazi chetu. Uongozi mbaya umeleta shida kubwa kwa waafrika mpaka wazungu kufikia kutukana namna hii. Ndio maana waafrika wa sasa karne hii wanafia kwenye bahari ya kati (mediterranean) kwa sababu ya kujaribu kwenda tafuta...
Wewe lemaa na kwamba Magu kabana fedha. Kwani amechukua mfukoni mwako. Wale wapigaji ndiyo kawabana. Wanaopata fedha kwa njia halali wanapeta. Jifunze kupata hela halali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.