Hana lake jambo, mbele kauza nyumaa kaweka rehani, kabaki mdomo tuu Na angekua vijijini Basi angekua Mwanga , Au DG wao, manake ku kichaaa anawaaduwiaa wenzie hasbiallah ...Kama Hana aombe sio kufisidii
Wenzie....
Hata Mimi nilisikia wakampigia Yule cm from redio station akasema ndio Na siwachii ataka akae Na Kama Mume hataki aondokee ..kuna watu wana roho za jiwe sanaaa...
Huyu mwanamke kiyasi yamkute, anawananga wenzie sana nakutukana Mpaka familia zao, alimtukana Mdada sijui anaitwa Nani akasema ni HIV Positive Na sijui changu ilimradii kashfaa tele, Sasa yamemkutaa atangaze Na Yake Kama yeye mbea...
Haina maana shirika hili hata kidogo, ukichelewa kutoka Kwenye international Flt wanakwambiaa Tkt imeishaa nunua mpya, walinitoza tkt6 upyaa na Kwa bei ya juu kisa Flt yetu ya international ili chelewa, na wakatutoza pesa ya mizigo Yani nilisema naiweee basiii...wafunge hata kesho poa tuuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.