Recent content by As Salafiyyu91

  1. As Salafiyyu91

    JamiiForums Tanzania EWURA: Serikali imerekebisha tozo mbalimbali kwa taasisi zote zinazotoza tozo kwenye biashara ya mafuta hapa nchini

    Bora ingekuwa hata 2000 kamili ingetosha lakini kwa bei hii mpya nadhani hakuna mabadiliko yeyote
  2. As Salafiyyu91

    JamiiForums Tanzania Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

    Alikuwepo sawa lakini alikuwa Voiceless lakin sasa hivi yy ndiyo sauti ya mwisho
  3. As Salafiyyu91

    JamiiForums Tanzania Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

    Hao watuhumiwa waliwekwa kizuizini kwa dhulma na mama hataki dhulma we kufa na roho mbaya yako je wale walioachiwa kungekuwa na baba yako ungesema maneno haya?
  4. As Salafiyyu91

    JamiiForums Tanzania Ahsante Rais Samia, kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

    Naunga mkono hoja Mungu katutoa kwny mikono ya dhwalimu
  5. As Salafiyyu91

    JamiiForums Tanzania Chalamila alipotoshwa, Mhandisi Gabriel usikubali

    Mkuu ulifanya hadi sensa
  6. As Salafiyyu91

    JamiiForums Tanzania Faini za Barabarani kwa Bodaboda sasa ni Tsh. 10,000

    Hata bajaj pia
  7. As Salafiyyu91

    JamiiForums Tanzania Chonde Chonde: Kwa jicho la kiroho unatafutwa mlango COVID-19 iingie na ipate nguvu

    Mkuu maneno yako mbona yako kitheori zaidi haliyakuwa uhalisia hauko hivi ni bora ukae kimya uwaachie wenye taaluma yao wafanye kazi ww kama ni mhubiri endelee na kazi yako hiyo
  8. As Salafiyyu91

    JamiiForums Tanzania Lissu asema Hotuba ya Mama Samia ni ile ile ya Magufuli, sikubaliani nae

    Lisu hunajopya kaa hukohuko
  9. As Salafiyyu91

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote anamfahamu huyu nabii David Stefano Mpanji wa Mbeya?

    Mpanji alikuwa anauza mitumba mwanjelwa maisha yalivyompiga akaamia kwnye uchungaji ambako huduma zake kwa 100% ni zakiganga watu wanatoka vijijini huko wanaenda kukaa kanisani kwake wakisubiri huduma ya matibabu in short huyu jamaa ni mpigani hela tu hana jipya
  10. As Salafiyyu91

    JamiiForums Tanzania Suala la UKIMWI Njombe: Inahitajika hali ya dharura

    hali ni tete aise
  11. As Salafiyyu91

    JamiiForums Tanzania RC Makonda awashutumu watu kumroga ang'atuke, amtusi Meya Jacob kuwa anaumuka umuka kama hamira

    Mkuu hiyo Hospitali inatarajiwa kujengwa eneo gan? Ubungo,Kimara,Mbezi au Kibamba?
  12. As Salafiyyu91

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale walio karibu na bosi wa Discount Centre wamfikishie ujumbe huu

    M/Mungu auvunje Mgongo wa huyo Mwanaume ili Watu waepukane na shari itakanayo na mikono yake
  13. As Salafiyyu91

    JamiiForums Tanzania Makonda ataka majimbo matatu ya Kawe,Ubungo na Kibamba kwa mpigo

    Mkuu uzi wako umekosa mtiririko mzuri wa maudhui haueleweki umekusudia nn ?
Back
Top Bottom